Sunday, September 23, 2018

World Cup

Home World Cup

RUS 2018: Croatia na Urusi hatoki mtu!

Nimesoma andiko Natasha Singh akisema kwamba huenda wahindi wasiendelee tena kufuatilia kombe la dunia kwa wingi mwaka huu kwani wengi wao walikuwa mashabiki wakutupwa...

RUS 2018: Jezi ya Shaffih Dauda yazua gumzo, Brazil wakifuzu kwenda Brazil

Leo kuna kibonzo kinasambaa mtandaoni kwamba eti mwamuzi anamuuliza Neymar kwamba naona leo unainuka mapema kulikoni! Kuna kitu niliwaambia watu hapa. Nilisema Ubelgiji wana ufanisi...

RUS 2018: Ni Hazard au Neymar

Leo jumamosi, kutakuwa na mechi ya pili ya robo fainali, ya kombe la dunia, kati ya Brazil na Belgium, itakayochezwa Kazan majira ya saa...

Tiketi za kumwaga kombe la dunia 2018

Katika pilika za hapa na pale kwenye miji tofauti ndani ya Russia Shaffih Dauda ameamua kufanya utafiti mdogo tu kuhusu upatikanaji wa tiketi kuelekea...

RUS 2018: Takwimu zote za Kombe dunia hizi hapa!!

60 Ni miaka imepita tokea kijana mdogo Pele kufunga mara mbili katika fainali hizi za kombe la dunia akiwa na na umri mdogo kabisa....

Shaffih Dauda kaichambua robo fainali Uruguay vs Ufaransa, utabiri wake je?

Baada ya mapumziko ya siku mbili tatu, mchakamchaka wa kombe la dunia unarejea kwa kishindo. Tunaingia hatua nyingine, ugumu wa mashindano unazidi na ushindani...

RUS 2018: Honda, Hasebe Watundika Daluga Kuichezea Japan

KEISUKE Honda na Makoto Hasebe wametangaza kustaafu soka la kimataifa, mara baada tu ya kuondolewa katika fainali hizi za Kombe la Dunia mwaka 2018...

Waingereza wanasema soka linarudi nyumbani – watauvuka mtihani wa Colombia 🇨🇴?

Mchezo wa Colombia vs England katika dimba la Spartak Stadium jijini Moscow ndio utakuwa mchezo wa kufunga pazia la 16 bora bora katika 2018...

RUS 2018: Shkamoo Kagawa, Fellain anawasalimia

Kama hujapata burudani kombe la dunia la mwaka huu, ndugu yangu nadhani furaha pekee utakayopata ni siku utakabidhiwa tiketi ya mbinguni. Kwa mara ya...

RUS 2018: VAR inamjua Neymar na Shaffih anapajua Samara

The champions are Come back! Mliosoma English Medium nisaidieni hapo kama nipo sawa. Hata hivyo hayo sio maneno yangu, ni maneno ya mashabiki wa...

STORY KUBWA