Wednesday, September 26, 2018

World Cup

Home World Cup

Road 2 Russia: Kiwanja utakachomuona Messi hiki hapa

⚽TIKETI YA BOMBADIA⚽ *Safari Ya Urusi* Na: DANIEL S.FUTE *Inaendelea....* BADO tunasonga na muendelezo wa makala hii ya Viwanja 12, ambavyo vitachezewa mechi za fainali za Kombe...

Unafiki wa Camp Nou utamezwa na Kombe la dunia

Tiketi ya Urusi Mesut Ozil aliondoka Real Madrid, kila mtu alisikitika kwa maamuzi yale. Sababu za kuuzwa kwake zilikuwa na figisu Figisu. Naweza kusema yalikuwa...

Miamba hatari iliyowahi kugaragazwa Kombe la dunia

Brazil 1982 Ukiachilia mbali mafanikio makubwa walio nao vijana wa Seleção ya kushinda mataji matano ya kombe la dunia lakini Brazil bado ni taifa ambalo...

“Nusu fainali kombe la dunia 2018 hazina msisimko”-Shaffih Dauda

Kuelekea katika mechi za nusu fainali kombe la dunia Russia, mechi ya kwanza itachezwa leo uwanja wa St Petersburg ambapo Ufaransa watacheza na Ubelgiji,...

Sababu za Leroy Sane kuachwa Ujerumani hizi hapa

Msimu mmoja haukutosha kumpatia Leroy Sane tiketi ya kwenda Russia? Umeona picha ya Kyle Walker aliyoweka kwenye ukurasa wake akizungumzia kuachwa kwa Sane? Hii...

Martial na Lacazette walistahili dhahabu sio mawe

Didier Deschamps ametaja kikosi chake. Wana kikosi kizuri sana, bila shaka kikosi chao kinaweza hata kufika hata fainali za kombe la dunia. Kuna uwezekano kwamba...

Mambo na vijimambo ufunguzi kombe la dunia 2018

Mechi ya ufunguzi kati ya mwenyeji Urusi na Saudi Arabia ilishuhudia mwenyeji Urusi ikishinda 5-0 lakini kuna vijimambo ambavyo vilikuwa vinaendelea nje ya pitch...

RUS2018: Mganda kuwavaa Australia leo

Leo jumanne kutakuwa na mechi nyingne ya kundi C kati ya Denmark na Australia, ambayo itachezwa majira ya saa 9:00 saa za Afrika mashariki. Zifuatazo...

Mexico na deni la magoli 11-0 vs Brazil – Leo watalipa kisasi au uteja...

Mission ya Brazil kufuta makosa yao yao ya kuondolewa kwa aibu kwenye michuano ya 2014 FIFA World Cup inaendelea baada ya kufuzu kutoka kwenye...

Road2Russia: Je wajua? Pata vifurushi hapa

Na Melkizedeck Mbise. Mchezaji mkubwa kiumri kufunga goli katika historia ya kombe la Dunia ni mchezaji wa zamani wa Cameroon, Roger Milla ambapo alifunga akiwa...

STORY KUBWA