Thursday, September 20, 2018

World Cup

Home World Cup

RUS 2018: Mgawanyo mzima wa fedha kombe la dunia! Bingwa anapewa kiasi gani!

Ubelgiji na England wamegombania £18 milioni. Mchezo wa leo binafsi umeboa wengi. Wengi wamesema bora kuangalia katuni. Ulikuwa mchezo wa walioshindwa. Ile hari ya...

Serikali kuingilia soka kunaweza kuigharimu Peru World Cup 2018 – Italy au Chile kuchukua...

Bado yamebaki matumaini kwamba huenda tukaziona Itakia au Chile katika mashindano ya Kombe la dunia mwaka 2018, yote haya yatatokana muswada wa sheria ambao...

URUSINI: Mtanzania atakata kombe la dunia kule Urusi, ampiku Messi kwa Magoli

Wakati Sanchez na Icard wakiangalia mpira kwenye TV, fahamu kuna mtanzania anakichafua huko Urusi kama hana akili nzuri. Anaitwa Yussuf Yurary Poulsen aliyezaliwa 15...

RUS 2018: Tukiachana na Mbappe na Modric, pia yupo Shaffih Dauda!

Kombe la dunia limeisha. Kilele cha yote kimetuletea majina mawili ambayo yatatawala vichwa vya habari. Huku Mbappe kule Modric. Wamefanya makubwa na wanahitaji pongezi...

#KuelekeaKombaeLaDunia: Mambo muhimu ya kufahamu

Tumebakiza mwezi mmoja kuelekea kuanza kwa michuano ya kombe la dunia nchini Russia, tunaanza na wewe kuhesabu siku hizo huku tukikuletea mambo mbalimbali yahusuyo...

Sweden watafanikiwa kumstaafisha Buffon bila kombe la dunia machinjoni San Sirro?

Italy wapo katika hatari ya kukosa kucheza kombe la dunia kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1958 ikiwa tu watashindaa kuifunga Sweden katika mchezo...

siku 3 kuelekea Urusi, majeruhi yazidi kukiandama kikosi cha Argentina

Na Elizabeth lyavule. vijana wa kocha Jorge Sampaoli wameshawasili nchini Urusi tayari kwa michuano ya kombe la dunia huku karata yao ya kwanza wakitegemea kuitupa...

Tiketi ya Bombadia: Messi kucheza kiwanja cha pili kwa ubora

Safari Ya Urusi.... Na: DANIEL S.FUTE Inaendelea.... TUKIWA tunaelekea mwisho wa makala hii, kuhusu viwanja 12 ambavyo vitatumiwa katika fainali za Kombe la Dunia mwaka 2018....

Shaffih Dauda in Russia na unayotakiwa kufahamu kuelekea WC2018

Jana asubuhi baada ya kutoka kwenye mwaliko wa ubalozi wa Tanzania nchini Urusi niliondoka na kuelekea kwenye mji wa St. Petersburg na kwa mara...

Ronaldo vs Messi: Nani kuwa wa kwanza kutimiza hat tricks 50?

Lionel Messi amethibitisha kwa mara nyingine usiku wa Jumanne kwamba alizaliwa kuucheza huu mchezo unaoitwa soka baada ya kuisadia Argentina kufuzu kucheza kombe la...

STORY KUBWA