Sunday, September 23, 2018

World Cup

Home World Cup

Mambo na vijimambo ufunguzi kombe la dunia 2018

Mechi ya ufunguzi kati ya mwenyeji Urusi na Saudi Arabia ilishuhudia mwenyeji Urusi ikishinda 5-0 lakini kuna vijimambo ambavyo vilikuwa vinaendelea nje ya pitch...

Road 2 Russia: Ballon D Or ya Neymar ipo Russia

Kama kuna wachezaji wapo kwenye presha kubwa basi hatuwezi kuacha kumtaja Neymar Jr. Makelele mengi na sala za wabrazil huenda zikamwendea Neymar. Roberto Carlos yeye...

RUS 2018: Takwimu za Messi na Ronaldo kombe la dunia.

Kwanza kabla hatuaongelea kuhusu Messi na Ronaldo ambao watani humuita mmoja Kirikuu na mwenzake Penaldo acha nikupe KIFURUSHI. Kwa Mara ya pili Bingwa wa Ballon...

#KuelekeaKombaeLaDunia: Mambo muhimu ya kufahamu

Tumebakiza mwezi mmoja kuelekea kuanza kwa michuano ya kombe la dunia nchini Russia, tunaanza na wewe kuhesabu siku hizo huku tukikuletea mambo mbalimbali yahusuyo...

#RoadToRussia: Fahamu mataifa yalizoshiriki kombe la dunia na kucheza michezo mingi

Brazil ndiyo taifa pekee ambalo limeshiriki fainali zote 20 za kombe la dunia na fainali za mwaka huu zitakuwa ni fainali za 21. Katika mara...

Mats Hammels amemdharau sana Leroy Sane

Leroy Sane ameachwa. Maswali mengi yamejaa akilini mwa wapenzi wengi wa Soka. Hili suala limekuja na sura tofauti. Ballack amesema sio fea kabisa. Kyle...

Tiketi ya bombadia: Ronaldo atacheza hapa?

Na: DANIEL S.FUTE Inaendelea.... HADI sasa zimesalia wiki mbili tu kuanza kwa fainali za Kombe la Dunia. Vile vile nitakuwa nimebakiza viwanja vitatu ambavyo vitatumiwa...

siku 3 kuelekea Urusi, majeruhi yazidi kukiandama kikosi cha Argentina

Na Elizabeth lyavule. vijana wa kocha Jorge Sampaoli wameshawasili nchini Urusi tayari kwa michuano ya kombe la dunia huku karata yao ya kwanza wakitegemea kuitupa...

URUSINI: Hakuna uchawi wa kumzuia Messi

Iceland itakuwa taifa dogo kabisa katika fainali za kombe la dunia watakapokutana na Argentina in Moscow. Kiungo wa Iceland Gylfi Sigurdsson anatarajia kurejea uwa jani...

Tiketi ya bombadia: Mo Salah ataanzia kiwanja hiki

Na: DANIEL S.FUTE Inaendelea.... FAINALI za Kombe la Dunia ni fainali zenye msisimko mkubwa sana kila zinapofika wakati wake. Lakini pia ni fainali zenye kuleta...

STORY KUBWA