Monday, September 24, 2018

World Cup

Home World Cup

URUSINI: Macho yote kwa Salah leo

Kuelekea mechi ya leo jumanne,ya group A kati wenyeji Russia dhidi ya Egypt, katika uwanja wa Krestovsky. Hizi ni taarifa za timu Russia: Wenyeji watakuwepo...

RUS 2018: Honda, Hasebe Watundika Daluga Kuichezea Japan

KEISUKE Honda na Makoto Hasebe wametangaza kustaafu soka la kimataifa, mara baada tu ya kuondolewa katika fainali hizi za Kombe la Dunia mwaka 2018...

Tiketi ya bombadia: Mo Salah ataanzia kiwanja hiki

Na: DANIEL S.FUTE Inaendelea.... FAINALI za Kombe la Dunia ni fainali zenye msisimko mkubwa sana kila zinapofika wakati wake. Lakini pia ni fainali zenye kuleta...

Tiketi ya Bombadia: Messi kucheza kiwanja cha pili kwa ubora

Safari Ya Urusi.... Na: DANIEL S.FUTE Inaendelea.... TUKIWA tunaelekea mwisho wa makala hii, kuhusu viwanja 12 ambavyo vitatumiwa katika fainali za Kombe la Dunia mwaka 2018....

“Nusu fainali kombe la dunia 2018 hazina msisimko”-Shaffih Dauda

Kuelekea katika mechi za nusu fainali kombe la dunia Russia, mechi ya kwanza itachezwa leo uwanja wa St Petersburg ambapo Ufaransa watacheza na Ubelgiji,...

Road 2 Russia: Denmark watashangaza Wengi kule Russia

Tiketi ya Bombardier Denmark ni nchi ndogo tu. Ina watu kama milioni 6 hivi. Ni taifa dogo sana kule ukanda wa Scandinavia. Wamekuwa na timu...

Road2Russia: Je wajua? Pata vifurushi hapa

Na Melkizedeck Mbise. Mchezaji mkubwa kiumri kufunga goli katika historia ya kombe la Dunia ni mchezaji wa zamani wa Cameroon, Roger Milla ambapo alifunga akiwa...

Road 2 Russia: Kiwanja utakachomuona Messi hiki hapa

⚽TIKETI YA BOMBADIA⚽ *Safari Ya Urusi* Na: DANIEL S.FUTE *Inaendelea....* BADO tunasonga na muendelezo wa makala hii ya Viwanja 12, ambavyo vitachezewa mechi za fainali za Kombe...

RUS 2018: Takwimu zote za Kombe dunia hizi hapa!!

60 Ni miaka imepita tokea kijana mdogo Pele kufunga mara mbili katika fainali hizi za kombe la dunia akiwa na na umri mdogo kabisa....

RUS 2018: Taarifa kuelekea mchezo wa Ubelgiji Vs Ufaransa

Tunaangalia mechi ya leo Jumanne ya nusu Fainali, ya Kombe la Dunia kati ya France na Belgium, itakayochezwa uwanja wa Krestovsky muda wa saa...

STORY KUBWA