Tuesday, September 25, 2018

World Cup

Home World Cup

Watoto wawili kuiwakilisha Tanzania kombe la Dunia Russia 2018

Programu ya Football for Friendship (F4F) 2018 inabadilisha ndoto ya kombe la Dunia la FIFA kuwa kweli kwa Zipora Mollel pamoja na Laigwanani Lomayani...

Morocco; Infantino apuuzwe anatumika na marekani

Kombe la dunia 2026 imefika patamu. Wakati wewe ukiwa huna hata mipango ya kesho, FIFA wao wanawaza kuhusu mwaka 2026. Ndio. Huenda ukiwauliza TFF...

Road 2 Russia: Soksi za messi hazinuki tatizo viatu alivyopewa

Tiketi ya Bombardier Ukiachilia mbali taifa la Uingereza ambalo ni taifa lenye mashabiki wenye Viherere sana, kwa mtazamo wangu hapa Afrika Tanzania nasi tumo lakini...

Road 2 Russia: Ballon D Or ya Neymar ipo Russia

Kama kuna wachezaji wapo kwenye presha kubwa basi hatuwezi kuacha kumtaja Neymar Jr. Makelele mengi na sala za wabrazil huenda zikamwendea Neymar. Roberto Carlos yeye...

Road 2 Russia: Denmark watashangaza Wengi kule Russia

Tiketi ya Bombardier Denmark ni nchi ndogo tu. Ina watu kama milioni 6 hivi. Ni taifa dogo sana kule ukanda wa Scandinavia. Wamekuwa na timu...

Kabla ya Salah – alikuwepo Abdelrehman Fawzi – shujaa wa kwanza wa Misri na...

Wakati wamisri, waafrika na wapenda michezo duniani wakisubiri kuona nini atakachofanya Mohamed Salah katika Kombe la dunia 2018, miaka 84 iliyopita kulikuwa na shujaa...

Siku 8️⃣3️⃣ Kabla ya World Cup: Kwanini Brazil ndio timu yenye mafanikio zaidi

Tumebakiza takribani miezi miwili na siku 23 kabla ya michuano ya kombe la dunia kunza - mnamo 14 June. Mashindano ya 21 ya dunia...

The Bad Boys: Wachezaji 11 waliowahi kuhukumiwa kwenda Jela kwa makosa ya kubaka, madawa,...

Wanasoka wamezoeleka kuwepo kwenye line up za makocha wao, lakini baadhi wamezoeleka kuwepo kwenye line up za polisi pia!. Hapa, tuangalie wachezaji 11 ambao wamekumbwa...

Mechi 10 za Kimataifa ambazo hutakiwi kuzikosa leo

Wakati tumebakiza siku 83 kabla ya kuanza kwa Kombe la dunia - timu za taifa zimeanza kujiandaa na michuano hiyo kwa mechi za kirafiki...

Habari mbali mbali majuu

*Morrison Aitosa England,Akimbilia Jamaica* GUADALAJARA,Mexico *MCHEZAJI* wa zamani wa Manchester United Ravel Morrison, amethibitisha kwamba yupo tayari kujiunga na Timu ya Taifa ya Jamaica. Morrison mwenye umri...

STORY KUBWA