Wednesday, September 26, 2018

World Cup

Home World Cup

#Road2Russia: Ninavyoikumbuka Senegal vs France 2002

Umebaki mwezi mmoja kuelekea fainali za kombe la Dunia nchini Russia, nitakuwa nikikuletea mambo mbalimbali yahusuyo fainali hizo zinazotarajiwa kuteka wadau wengi wa mchezo...

Road 2 Russia: Fahamu kiwanja watakachocheza Pogba, Iniesta na Ozil

Na: DANIEL S.FUTE *Inaendelea....* Tukiwa bado tunaendelea na muendelezo wa makala hii kuhusu viwanja 12, ambavyo vitachezewa fainali za Kombe la Dunia. Sio vyema ni...

Road 2 Russia: De gea akiri kuwa mpira haufai

Hii ni orodha kwa ufupi ya aina ya mipira iliyowahi kutumika Kombe la dunia. 1930 - Tiento & T- Model Kule nchini Uruguay wakati fainali za...

Road 2 Russia: Una taarifa kuhusu viwanja vya kombe la dunia?

Na: DANIEL S.FUTE *Inaendelea...* HUU ni mwendelezo wa makala yetu, ambapo tunazungumzia Viwanja 12 ambavyo vitachezewa katika fainali za Kombe la Dunia mapema mwezi ujao...

Road 2 Russia: Je unayajua haya?

Na: DANIEL S.FUTE *Inaendelea....* TAYARI tumepata kushuhudia baadhi ya ligi kuu zikimalizika jana na viwanja vya klabu kufungwa baada ya kutumika katika msimu mzima wa 2017/18....

Mchawi wa Zidane na Perez ni Kinyago cha Gazzaniga

Kule Rhodes magharibi mwa ufaransa alizaliwa jamaa mmoja alikuwa na akili sana. Jamaa huyu alikuwa akichonga vinyago vyake ambavyo vingi vilikuwa na muonekano wa umbo...

Road 2 Russia: Hii sio ya kukosa kabisa

MAJINA YA UTANI KOMBE LA DUNIA 2018 Argentina - La Albiceleste (White and Sky Blues) yaani mawingu meupe na ya buluu. Kikwetu tunasema mambo ni shwari. Australia...

Road2Russia: Je wajua? Pata vifurushi hapa

Na Melkizedeck Mbise. Mchezaji mkubwa kiumri kufunga goli katika historia ya kombe la Dunia ni mchezaji wa zamani wa Cameroon, Roger Milla ambapo alifunga akiwa...

Road2Russia; Pele Amlilia Dani Alves

Na: DANIEL S.FUTE MCHEZAJI wa zamani wa timu ya taifa Brazil Pele, amesikitishwa sana na taarifa kuhusu mchezaji wa Paris Saint-Germain na timu ya taifa...

Road 2 Russia: je wajua?

Kuelekea kombe la Dunia-Russia-20181. Mchezaji wa kwanza kufunga goli katika michuano ya kombe la Dunia ni mchezaji wa Ufaransa Lucien Laurent dhidi ya Mexico...

STORY KUBWA