Friday, July 20, 2018

World Cup

Home World Cup

Mambo na vijimambo ufunguzi kombe la dunia 2018

Mechi ya ufunguzi kati ya mwenyeji Urusi na Saudi Arabia ilishuhudia mwenyeji Urusi ikishinda 5-0 lakini kuna vijimambo ambavyo vilikuwa vinaendelea nje ya pitch...

“Ubelgiji ilistahili kucheza fainali kombe la dunia 2018 kuliko Ufaransa”-Shaffih Dauda

Jana Ubelgiji walifanikiwa kuwa washindi wa tatu wa fainali za kombe la dunia 2018 baada ya kuifunga England kwa magoli 2-0. Ubelgiji imetoa meseji kwa...

RUS 2018: Nani atafuzu au kushika nafasi ya 1/2 Kati ya Ureno na Hispania?

Ronaldo anakutana na Iran. Iran sio tishio sana lakini kombe la dunia mwaka huu ndio tishio hasa. Ronaldo mabao manne kufika sasa. Mabao mengi...

Tukio zima la ufunguzi wa World Cup hili hapa

Hayawayi hayawi sasa yamekuwa. Ndio. Ni zile Sherehe za ufunguzi wa Kombe la dunia Kule nchini Urusi. Ni muda wa kusahau makeke yaliyofanyika zile...

Road2Russia; Pele Amlilia Dani Alves

Na: DANIEL S.FUTE MCHEZAJI wa zamani wa timu ya taifa Brazil Pele, amesikitishwa sana na taarifa kuhusu mchezaji wa Paris Saint-Germain na timu ya taifa...

RUS 2018: Kwanini Mwana FA anataka VAR iletwe VPL?

Hivi VAR unaichukuliaje kwa mawazo yako? Unadhani ni njia sahihi ya kuondoa matatizo? Je Ungetamani iletwe katika ligi pendwa ya EPL au VPL. Kimsingi VAR...

Ronaldo vs Messi: Nani kuwa wa kwanza kutimiza hat tricks 50?

Lionel Messi amethibitisha kwa mara nyingine usiku wa Jumanne kwamba alizaliwa kuucheza huu mchezo unaoitwa soka baada ya kuisadia Argentina kufuzu kucheza kombe la...

RUS 2018: Hawa Croatia watapata tabu sana kuwazuia England

Jason Burt, mwandishi wa kujitegemea wa The Guardian ameweka karata yake kwa Raheem Sterling kuwa atawasumbua zaidi Croatia. Ni kweli, kumekuwa na muunganiko mzuri wa...

Exclusive: Carlos Quieroz kuhusu Ronaldo, namna anavyoifahamu Tanzania na namna Iran walivyojipanga na World...

Timu ya Taifa ya Iran inajiandaa kucheza mashindano ya kombe la dunia ifikapo June mwaka huu, baada ya kucheza katika michuano ya 2014 -...

RUS 2018: Jezi ya Shaffih Dauda yazua gumzo, Brazil wakifuzu kwenda Brazil

Leo kuna kibonzo kinasambaa mtandaoni kwamba eti mwamuzi anamuuliza Neymar kwamba naona leo unainuka mapema kulikoni! Kuna kitu niliwaambia watu hapa. Nilisema Ubelgiji wana ufanisi...

STORY KUBWA