Sunday, September 23, 2018

World Cup

Home World Cup

Mo Salah atacheza World Cup? Daktari wa timu atoa neno hili.

Mtanange wa yule Bingwa wa Ulaya umekamilika. Real Madrid wameshinda taji lao la tatu mfululizo kwa ushindi wa mabao matatu kwa moja. Golikipa wa...

Sababu za Leroy Sane kuachwa Ujerumani hizi hapa

Msimu mmoja haukutosha kumpatia Leroy Sane tiketi ya kwenda Russia? Umeona picha ya Kyle Walker aliyoweka kwenye ukurasa wake akizungumzia kuachwa kwa Sane? Hii...

RUS 2018: Bega la mkimbizi halichoki! Mkimbizi Modric amebeba mengi!

Makala tunazoziandika kwenye huu ukurasa mara kadhaa tunalenga kuwainua na kuwatia moyo baadhi ya wachezaji wa changa. Huko Ulaya usidhani kwamba kila mchezaji anatokea...

Kumchukia Cr7 ni kujitesa, apiga hattrick ya kwanza kombe la dunia

Ilimchukua Cristiano Ronaldo dakika 4 kuiandikia Ureno bao la kwanza kwa mkwaju wa penati, bao hili limemfanya Cr7 kuungana na Pele, Miroslav Klose na...

Ronaldo vs Messi: Nani kuwa wa kwanza kutimiza hat tricks 50?

Lionel Messi amethibitisha kwa mara nyingine usiku wa Jumanne kwamba alizaliwa kuucheza huu mchezo unaoitwa soka baada ya kuisadia Argentina kufuzu kucheza kombe la...

Mfahamu Mganda hatari anayetarajia kucheza kombe la dunia mwaka huu.

Haijalishi umezaliwa mazingira gani. Wala usimlaumu Mungu kwamba wazazi wako walizaliwa au waliishi maisha ya tabu. Huenda upo Kibondo au kasulu unawaza utafika lini...

URUSINI: Neymar anayumba, Wajerumani watusamehe kitambaa hakikutoshi

Kilichotokea leo sio tu kimeishangaza dunia pia hata kuzimu huenda bado mjadala unaendelea. Mabingwa wakubwa wa dunia ya soka wanasimamishwa mchana kweupe. Sio Brazil...

Picha 17: Mabingwa wa dunia walivyopokelewa nyumbani kifalme

Baada ya kusubiri kwa takiribani miaka 20 hatimaye hii leo kwa mara ya pili wananchi wa Ufaransa wamepata kuliona kombe la dunia likipita nchini...

RUS 2018: Pesa watakazopata Kane na Lukaku ni kufuru

Kama England watashinda World Cup mshambuliaji wao Harry Kane atapatahela nyingi zaidi ya kitita anachotarajia kusaini Spurs kwa wiki. Matt Law anasema kuwa England wanakutana...

URUSINI: Ushindi wa Senegal na ushirikina wa Afrika

Senegal wametisha sana. Senegal wamevunja rekodi ya Poland ya kutoka kufungwa na timu yoyote ya Afrika. Ni bao la kujifunga la mapemaThiago kunako dakika...

STORY KUBWA