World Cup

Home World Cup

Rui Faria ameondoka na furaha ya Mourinho, na leo Madrid wanaweza kuharibu kabisaa

Usiku wa kuamkia Jumatano(usiku wa leo) klabu ya Manchester United watakuwa uwanjani kuwakabili Real Madrid katika mchezo katika muendelezo wa michuano ya ICC. Mchezo huu...

Mfahamu Mbappe mchezaji tishio zaidi kombe la dunia 2018

Katika umri wako wa miaka 19 una nini? au uliwahi kumiliki nini? au una mpango wa kumiliki nini? Hapo baadae utajivunia kipi kwa wanao...

Sio ya kukosa: Takwimu zote za kombe la dunia hizi hapa

Tunafunga kombe la dunia kama ifuatavyo. Jumla ya Mechi= 64 Idadi ya - 169 (2.64 kwa mechi) Wafungaji bora:⚽⚽⚽ 1. H. Kane (England) - 6 2. K. Mbappé (France)...

Picha 17: Mabingwa wa dunia walivyopokelewa nyumbani kifalme

Baada ya kusubiri kwa takiribani miaka 20 hatimaye hii leo kwa mara ya pili wananchi wa Ufaransa wamepata kuliona kombe la dunia likipita nchini...

Picha: Huko Croatia usipime jinsi timu ilivyopokelewa

Croatia wamerudi nyumbani hii leo baada ya kuushangaza ulimwengu kwa namna walivyopenya hadi fainali huku vigogo wengi wakiangula katika kombe la dunia. Pamoja na kufungwa...

RUS 2018: Tukiachana na Mbappe na Modric, pia yupo Shaffih Dauda!

Kombe la dunia limeisha. Kilele cha yote kimetuletea majina mawili ambayo yatatawala vichwa vya habari. Huku Mbappe kule Modric. Wamefanya makubwa na wanahitaji pongezi...

Takwimu muhimu za yaliyojiri Urusi msimu mzima wa kombe la dunia

Ufaransa tayari ni mabingwa na wamechukua kombe kibabe baada ya kuichakaza timu ya taifa ya Croatia kwa jumla ya mabao 4-2, lakini ukiachana na...

RUS 2018: Les Français sont champions du monde/ Ufaransa watwaa ubingwa wa dunia

Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Ni safari ya mwezi mmoja ndani ya Urusi. Mabibi na Mabwana namleta kwenu mshindi wetu wa kombe la dunia 2018...

“Ubelgiji ilistahili kucheza fainali kombe la dunia 2018 kuliko Ufaransa”-Shaffih Dauda

Jana Ubelgiji walifanikiwa kuwa washindi wa tatu wa fainali za kombe la dunia 2018 baada ya kuifunga England kwa magoli 2-0. Ubelgiji imetoa meseji kwa...

RUS 2018: Uchambuzi kuelekea mechi ya fainali ya Ufaransa Vs Croatia

Kuna mtu anaitwa Mark Ogden. Ametoa mtazamo wake kuhusu mshindi wa kombe la dunia. Kule MOSCOW ndani ya Luzhniki Stadium kombe la dunia linafikia ukingoni. Odgen...

RUS 2018: Mgawanyo mzima wa fedha kombe la dunia! Bingwa anapewa kiasi gani!

Ubelgiji na England wamegombania £18 milioni. Mchezo wa leo binafsi umeboa wengi. Wengi wamesema bora kuangalia katuni. Ulikuwa mchezo wa walioshindwa. Ile hari ya...

RUS 2018: kiburi na majivuno, yamekatisha ndoto ya kucheza fainali

Uvumilivu ni silaha kubwa sana kwenye mafanikio ya kila mwanadamu. Subira ni akiba. Ukiwa na haraka sana unapoteza vingi. Unaweza ukajaliwa vingi lakini unaposhindwa...

RUS 2018: Bega la mkimbizi halichoki! Mkimbizi Modric amebeba mengi!

Makala tunazoziandika kwenye huu ukurasa mara kadhaa tunalenga kuwainua na kuwatia moyo baadhi ya wachezaji wa changa. Huko Ulaya usidhani kwamba kila mchezaji anatokea...

Shaffih Dauda kataja sababu za Ubelgiji kupotea kwa wafaransa

Jana Jumanne July 10, 2018 ilichezwa nusu fainali ya kwanza ya kombe la dunia ambapo Ufaransa ilishinda 1-0 mbele ya Ubelgiji kwenye uwanja wa...

RUS 2018: Hawa Croatia watapata tabu sana kuwazuia England

Jason Burt, mwandishi wa kujitegemea wa The Guardian ameweka karata yake kwa Raheem Sterling kuwa atawasumbua zaidi Croatia. Ni kweli, kumekuwa na muunganiko mzuri wa...

RUS 2018: Delph amwagia Kompany sifa kedekede

Utu wa mtu haupimwi kwa utaifa wake wala rangi yake. Fabian Delph amemshukuru sana Vincent Kompany kwa kumsaidia gharama za usafiri kwa njia ya...

RUS 2018: Taarifa kuelekea mchezo wa Ubelgiji Vs Ufaransa

Tunaangalia mechi ya leo Jumanne ya nusu Fainali, ya Kombe la Dunia kati ya France na Belgium, itakayochezwa uwanja wa Krestovsky muda wa saa...

“Nusu fainali kombe la dunia 2018 hazina msisimko”-Shaffih Dauda

Kuelekea katika mechi za nusu fainali kombe la dunia Russia, mechi ya kwanza itachezwa leo uwanja wa St Petersburg ambapo Ufaransa watacheza na Ubelgiji,...

RUS 2018: Kama tulimzuia Messi, huyu Kane hatusumbui!

Croatia, dhidi ya England, hapatoshi. Siku ya Jumatano kutakuwa na mchezo wa nusu fainali kati ya Croatia, dhidi ya England mchezo huu utaibua taswira kibao...

Neymar kumrithi Ronaldo? Hafai” Ndoo ya bafuni haiwekwi maji ya kunywa”

Wakati mawakala wa Sir Alex Fergson walipofika Brazil walikwenda moja kwa moja mpaka Santos kumtazama Neymar. Mwandishi mmoja wa jarida la the Sun Neil...
473,622FansLike
169,928FollowersFollow
72,217FollowersFollow