Tuesday, December 12, 2017

VPL

Home VPL

MALINZI AKIRI TFF KUJIKOROGA

Rais wa TFF Bw. Jamal Malinzi ameviomba radhi vilabu vya ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara kutokana na timu ya Azam kupewa ruhusa na...

JULIO AIKALIA KOONI TFF KUHUSU ‘ISHU’ YA AZAM

Sarakasi za kubadilishwa na kusimama kwa ratiba ya ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara imesababisha wadau wa soka nchini kuchachamaa na kuinyooshea vidole bodi...

KAMA ‘UPUMBAVU’ SIYO TUSI, BASI VIONGOZI TFF NI ‘WAPUMBAVU’

Na Hemed Kivuyo Niliweka na mara kadhaa naweka utaratibu ninapokuwa ‘mapumziko’ huwa sifanyi kazi yeyote inayohusiana na kazi hii ya uandishi. Leo natengua kanuni. Nipo mapumzikoni...

TETESI: GORAN KOPUNOVIC KUTUA MSIMBAZI MUDA WOWOTE

Taarifa za ndani ya klabu ya Simba zinadai kwamba, uongozi wa klabu hiyo unafanya mazungumzo na aliyewahikuwa kocha mkuu wa klabu hiyo mserbia Goran...

SIMBA ITACHUKUA UBINGWA WA VPL? HAYA NDIYO MAJIBU YA HAJI MANARA

Baada ya kikosi cha Simba kumaliza raundi ya kwanza kikiwa nyuma ya vinara wa ligi kwa pointi sita, bado wanauota ubingwa wa ligi kuu...

IBRAHIM AJIB ANYAKUA TUZO SIMBA

Mshambuliaji wa 'wekundu wa Msimbazi' Simba Ibrahim Ajib ametangazwa kuwa  mchezaji bora wa mwezi December wa klabu hiyo. Ajib amefanikiwa kunyakua tuzo hiyo baada ya...

TFF YAMFUTA MACHOZI KOCHA WA MBEYA CITY

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limetuma salamu za rambirambi kwa Kocha Mkuu wa klabu ya Mbeya City inayoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom,...

HAWA NDIYO ‘MASWAHIBA’ WA VPL WANAOCHEZA TIMU TOFAUTI

Ukiachana na upinzani mkali wa vilabu vya Azam, Simba na Yanga kwenye soka la Bongo, wachezaji wa vilabu hivyo ni washkaji sana wanapokuwa nje...

VAN PLUIJM KAMVUA NIYONZIMA UNAHODHA YANGA?

Jumapili ya January 24 klabu ya Dar Es Salaam Young African ilishuka dimbani kucheza mchezo wake wa Kombe la FA dhidi ya Friends Rangers, lakini huu ulikuwa ni mchezo...

YANGA KUTIMKIA ‘BONDENI’

YANGA imevunja ratiba yao ya kucheza na Coasta Union katika mchezo wa Ligi baada ya kutangaza kikosi chao kwenda Afrika Kusini katika mashindano mafupi. Mkuu...

STORY KUBWA