VPL

Home VPL Page 8

MJADALA: Salamba anakidhi vigezo kucheza Yanga?

Yanga imeiandikia barua Lipuli ikiomba kumtumia mshabuliaji Adam Salamba katika masindano ya kinataifa (Caf Confederation Cup) ambapo Yanga ipo hatua ya makundi ya michuano...

Video-Mashabiki wa Simba walivyoigombea jezi ya Lipuli

Shabiki mmoja wa Simba almanusura avuliwe jezi yake ya Lipuli na mashabiki wenzake wa Simba ambao hawakutaka kabisa kuiona jezi ya Lipuli. Katika timu zote...

Video-Okwi awekewa ulinzi kutoa zawadi ya ubingwa

Kabla ya mechi dhidi ya Singida United Jumamosi Mei 12, 2018 wachezaji na benchi la ufundi la Simba walivaa T-shirts maalum za ubingwa wa...

Video-Ubingwa wa Simba biashara

Jamani kuna watu wanajua kucheza na fursa, ubingwa wa Simba VPL 2017/18 kuna watu wanafanya biashara wanaingiza 'mtonyo' na maisha yanaendelea kama kawaida. Jumamosi Mei...

Mechi 7 bila ushindi Yanga imepotea wapi?

Yanga imecheza mechi saba bila ushindi katika mashindano yote inayoshiriki (ligi kuu Tanzania bara na Caf Confederation Cup). Mechi sita ambazo Yanga haija ni Wolaitta...

Kapombe afafanua style ya kushangilia, Niyonzima kafunguka

Shomari Kapombe ndiye aliifungia Simba goli pekee lililoamua matokeo ya mchezo dhidi ya Singida United. Kapombe alishangilia kwa style iliyoashiria analea, baada ya mchezo alisema...

Yanga wapewa mwaliko na Manara “Yanga ni majirani zetu”

Pamoja na mambo mengine, ofisa habari wa Simba Haji Mana amesema wanaandaa utaratibu wa kufanya sherehe kubwa zaidi ya Simba Day kusherekea ubingwa wa...

Kichuya, Kwasi, wapiga ‘mkwanja’ Singida

Kama kuna wachezaji wa Simba waliowashika mashabiki basi huwezi kuacha kuwataja Shiza Kichuya na Asante Kwasi ambao wanafanya vizuri na wamekuwa wachezaji muhimu ndani...

Singida yanogesha ubingwa wa Simba

Simba imecheza mechi yake ya 28 bila kupoteza baada ya ushindi wake wa goli 1-0 dhidi ya Singida United kwenye uwanja wa Namfua mkoani...

Simba imepewa heshima waliyonyimwa Barcelona

Simba wamepewa heshima yao na Singida United kwenye uwanja wa Namfua mjini Singida kabla ya kuanza mechi yao ya ligi kuu Tanzania bara. Ni utaratibu...

Video-Shabiki atumia zaidi ya Tsh. 200,000 kwa ajili ya Simba

Kuna mashabiki wa kweli ambao wapo tayari kufanya chochote kwa ajili ya timu zao, Dauda TV imekutana na shabiki wa Simba Anchelius Rwegasira Richard...

Simba kupewa ‘ndoo’ Singida?

Baada ya Simba kujihakikishia ubingwa wa VPL 2017/18 Haji Manara aliiomba bodi ya ligi kuwakabidhi kombe mara baada ya mchezo wao dhidi ya Singida...

Yanga baada ya Simba kutwaa ubingwa “tunakubali yaishe”

Yanga ndio walikuwa mabingwa watetezi wa taji la VPL ambalo walikuwa nalo kwa misimu mitatu mfululizo lakini jana Alhamisi Mei 10, 2018 waliwa rasmi...

Manara kapeleka ubingwa nyumbani kwake

Haji Manara ameupeleka ubingwa wa VPL nyumbani kwake kwa kuu-dedicate ubingwa huo kwa familia yake. Manara amesema familia yake ilikuwa na uvumilivu wa kiwango cha...

Manara aishukuru Tanzania Prisons kwa ubingwa

Simba imetwaa ubingwa wa ligi kuu Tanzanianbara 2017/18 wakiwa hotelini baada ya Yanga ambao walikuwa wapinzani wao wakubwa katika mbio za ubingwa kufungwa 2-0...

Baada ya ubingwa Rage aibuka ‘kuwazodoa’ Yanga

Kweli kutesa ni kwa zamu au unaweza kuita 'kulia kupokezana', baada tu ya mnyama kutangaza ubingwa wa VPL msimu huu, aliyewahi kuwa mwekiti wa...

“Sijawahi kuwa na furaha ya kiwango hiki, labda nilipooa”-Manara

Baada ya Yanga kufungwa 2-0 na Tanzania Prisons, moja kwa moja ubingwa wa VPL 2017/18 umeenda Msimbazi. Haji Manara anakwambia furaha aliyonayo haipimiki inaweza...

yupi ndiye mchezaji bora chipukizi VPL

Baadhi ya wachezaji chipukizi wanaofanya vizuri msimu wa 2018 ADAM SALAMBA MIAKA 21-LIPULI FC Alizaliwa tarehe 25-11-1997 kule Kakola Shinyanga. Ni mtoto wa pili katika...

Simba bingwa VPL 2017/18

Kipigo cha 2-0 ilichochezea Yanga kutoka kwa Tanzania Prisons, kimeivua rasmi ubingwa wa VPL ambao unakwenda mitaa ya Msimbazi kwa Simba ambayo hata ikipoteza...

Kocha wa Prisons aivua ubingwa Yanga

Kuelekea mchezo wa VPL kati ya Tanzania Prisons dhidi ya Yanga, Kocha mkuu wa Prisons Abdallah Mohamed 'Bares' ameivua ubingwa Yanga na kuipa Simba...
473,565FansLike
169,928FollowersFollow
72,120FollowersFollow