Tuesday, September 25, 2018

VPL

Home VPL

NIYONZIMA AANZA RASMI MAKAMUZI YANGA, HII NDIYO KAULI YAKE YA KWANZA

Kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima ambaye mkataba wake na klabu hiyo ulivunjwa kutokana na makosa ya kinidhamu ya nahodha huyo wa Rwanda, leo ameanza...

IBRAHIM AJIB,  WEWE NI NANI NA NI YUPI? 

Hakuna siku ambayo dunia imewahi kushuhudia mvua ya maua waridi, lakini kwa sababu ni moja ya maua yanayohitajika sana namna pekee ya kuendeleza upatikanaji...

SIMBA YAMPA KERR MKONO WA KWAHERI, KOCHA MPYA AKABIDHIWA TIMU

Uongozi wa klabu ya Simba SC umevunja mkataba na aliyekuwa kocha mkuu wa kikosi cha 'wana Msimbazi' Dylan Kerr pamoja na kocha wa makipaIddi...

HUYU NI MKE WA PAUL NONGA NA HIKI NDICHO ALICHOPOST INSTAGRAM

Mke wa mshambuliaji mpya wa Yanga Paul Nonga ‘amejifungua’ mtoto tarehe 26 December 2015 ambayo ilikuwa ni siku ya Boxing Day, lakini mrembo huyo...

AZAM YAJIBU MASWALI YA KUTAKA KUMSAJILI NIYONZIMA

Klabu ya Azam FC kupitia kwa katibu mkuu wake Idrisa Nassoro umeweka msimamo wake baada ya habari kuanza kuvuma huenda Haruna Niyonzima akijunga na...

EXCLUSIVE INTERVIEW: HAYA NDIYO MAJIBU YA NIYONZIMA BAADA YA YANGA KUTANGAZA KUMPIGA CHINI

Baada ya kumsimamisha kwa muda usiojulikana, hatimaye uongozi wa Yanga umetangza rasmi kuvunja mkataba na kiungo wake wa kimataifa kutoka Rwanda Haruna Niyonzima. December 28,...

DAUDA TV: HIVI NDIVYO SIMBA ILIVYOKWAMA MBELE YA TOTO AFRICANS

Wekundu wa Msimbazi Simba SC walishindwa kutamba mbele ya wenyeji wao Toto Africans kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania bara kwa kulazimishwa sare ya...

DAUDA TV: ANGALIA MAGOLI YOTE YANGA VS STAND UNITED

Mabingwa watetezi wa taji la ligi kuu Tanzania bara klabu ya Yanga SC December 19 iliichapa Stand United kwa bao 4-0 kwenye mchezo wa...

HII NDIYO SABABU ILIYOMFANYA TAMBWE KU-DEDICATE HAT-TRICK KWA MTOTO WAKE

Mshambuliaji wa Yanga mrundi Amisi Tambwe jana alifanikiwa kufunga magoli matatu (hat-trick) kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara wakati Yanga ikicheza...

PICHA: SIMBA ILIVYOVUTWA SHARUBU NA TOTO MWANZA

December 19 timu ya Simba SC ikuwa ikipambana na timu ya Toto Africans ya Mwanza katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara...

STORY KUBWA