Sunday, September 23, 2018

VPL

Home VPL

SIMBA MWENDO MDUNDO, MATUMAINI YA UBINGWA KAMA KAWA

Klabu ya Simba imeendelea kuzikimbiza Yanga na Azam katika mbio za kuwania ubingwa wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara msimu huu baada ya...

BAADA YA MALINZI KUOMBA MSAMAHA, YANGA YAJA NA JINGINE

Baada ya Rais wa TFF Jamal Malinzi jana kuviomba radhi vilabu vya ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara kutokana na Azam kuruhusiwa kwenda kucheza...

TFF, MALINZI NA AZAM, WATANZANIA WANAYO MIGUU YA KUYAFUATA MAJI.

Shule ni ngumu sana,  na wanaoifanya kuwa ngumu zaidi ni wale walioamua kutufanya tukubaliane na Hali kuwa elimu haina mwisho. Hilo ndo haswaa jambo...

MALINZI AKIRI TFF KUJIKOROGA

Rais wa TFF Bw. Jamal Malinzi ameviomba radhi vilabu vya ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara kutokana na timu ya Azam kupewa ruhusa na...

JULIO AIKALIA KOONI TFF KUHUSU ‘ISHU’ YA AZAM

Sarakasi za kubadilishwa na kusimama kwa ratiba ya ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara imesababisha wadau wa soka nchini kuchachamaa na kuinyooshea vidole bodi...

WARAKA WA KERR WAIBUA MAZITO YALIYOFICHIKA SIMBA

Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu tangu alipotimuliwa, aliyekuwa kocha mkuu wa Simba Dylan Kerr ameandika barua kwa mashabiki akiwaeleza mambo kadhaa ambayo...

DR. TIBOROHA AMETAJA VITU AMBAVYO ‘KAMWE’ HATOVISAHAU NDANI YA YANGA

Baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Yanga Dr. Jonas Tiboroha kujiuzulu wadhifa wake, amesema kuna vitu ambavyo siku zote atavikumbuka na kujivunia wakati wa...

DR. TIBOROHA AZUA ‘TIMBWILI’ YANGA

Wanachama wa klabu ya Yanga wameibuka makao makuu ya klabu yao kupinga kujiuzulu kwa aliyekuwa katibu mkuu wa klabu hiyo Dr. Jonas Tiboroha ambaye...

KAMUSOKO AKIWA NA FAMILIA YAKE ANAUJUMBE HUU KWAKO WEEKEND HII

Kikungo wa Yanga mzimbabwe Thabani Kamusoko ni miongoni mwa wachezaji wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara ambao wako active sana kwenye mitandao ya...

YANGA MNAMENYEA NDIZI VYUMBANI?

NI nadra sana kushuhudia kipaji kama cha Haruna Niyonzima kwa wachezaji wengi butu wa kigeni wanaosajiliwa Tanzania. Lakini si nadra kuona vipaji hivi vikigeuka...

STORY KUBWA