Sunday, September 23, 2018

VPL

Home VPL

Niyonzima kuhojiwa Simba

Haruna Niyonzima akiwa bado kwao Rwanda na kuchelewa kujiunga na kikosi cha Simba kwenye kambi ya Uturuki, Rais wa Simba Salim Abdallah amesema Niyonzima...

“Mimi ni kocha wa mpira sio mwalimu wa muziki”-Kocha kuhusu usajili wa Ali Kiba

Kocha wa Coastal Union Juma Mgunda amesema usajili wa star wa BongoFleva Ali Kiba ni mapendekezo yake kwa sababu anamfahamu na anajua anavuocheza. Coastal Union...

UKURASA WA 1: Huyu ndiye Nadir Haroub “Canavaro”

"Ilikuwa mechi ya Simba na Yanga. Mchezo ulikuwa mgumu sana. Viatu vilikuwa vinatembea sana uwanjani. Mwamuzi alionekana kuzidiwa kabisa mchezo kutokana na kila mchezaji...

Kocha amefafanua kilichombakiza Chuji Coastal Union

Wakati watu kibao wakiamini uwezo wa Athumani Idd 'Chuji' umeisha kutokana na umri wake kuwa umekwenda kocha wa Coastal Union anasema bado anaamini Chuji...

Ali Kiba, mpira ni mzito kuliko MIC

Baada ya mchezo wa Timu Samatta Vs Timu Ali Kiba nilipata nafasi ya kuongea na Kocha Julio. Nikamuuliza anaonaje kiwango cha Ali Kiba. Akasema...

Coastal Union wamelamba dume

'Wagosi wa Kaya' Coastal Union ya Tanga imethibitisha kumalizana na mkali wa BongoFleva Ali Kiba 'King Kiba' kwa ajili ya kuicheza msimu ujao wa...

“Kuna wanaoachwa na kutolewa kwa mkopo”-Haji Manara

Kuelekea msimu ujao wa mashindano klabu ya Simba imepanga kuwatoa kwa mkopo baadhi ya wachezaji na kuwatema wengine. Msemaji wa 'Wekundu wa Msimbazi' Haji Manara...

Mipango ya Kaimu Katibu Mkuu Yanga…”muda wa usajili bado upo”

Baada ya kutangazwa kukaimu nafasi ya Katibu Mkuu Yanga, Omary Kaaya amezunguza na kuweka bayana mambo muhimu atakayoanza kuyatekeleza baada ya kuteuliwa kushika nafasi...

Wachezaji 10 wakigeni VPL sio ishu, ishu inaanzia hapa…!

Rais wa TFF Wallace Karia ametoa ufafanuzi juu ya kilichopelekea TFF kufanya marekebisho ya kanuni za ligi kuu ikiwa ni pamoja na kjongeza kioengele...

Sanga akimbia mapanga Yanga

Kaimu Mwenyekiti wa Yanga Clement Sanga ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi yake baada ya kupokea vitisho kutoka kwa mashabiki wamba watavamia nyumbani kwake kumfanyia fujo...

STORY KUBWA