Monday, September 24, 2018

VPL

Home VPL

Yanga baada ya Simba kutwaa ubingwa “tunakubali yaishe”

Yanga ndio walikuwa mabingwa watetezi wa taji la VPL ambalo walikuwa nalo kwa misimu mitatu mfululizo lakini jana Alhamisi Mei 10, 2018 waliwa rasmi...

Manula matumaini kibao tuzo za VPL 2018

Baada ya kamati ya tuzo ya mchezaji bora Tanzania bara kwa msimu uliomalizika kutangaza orodha ya wachezaji katika vipengele mbalimbali wanaowania tuzo hizo, golikipa...

TFF imetoa tahadhari VPL

Duru la Pili la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara inatarajiwa kuanza kesho Jumamosi Desemba 17 kwa michezo minne kabla ya michezo mingine minne...

Kwa nini Mohamed Dewji ‘MO’ anaisaidia Simba badala ya kuidhamini?

Na Baraka Mbolembole Mara baada ya baadhi ya wanachama wa klabu ya Simba kukubali 'mabadiliko' katika mkutano mkuu wa mwaka wa klabu hiyo katikati ya...

Mkufunzi wa waamuzi CAF apata kigugumizi goli la Kichuya vs Mbeya City

Goli alilofunga Shiza Kichuya kwenye mchezo wa VPL kati ya Mbeya City dhidi ya Simba limezua mjada mkubwa kwa wadau wa soka wapo wanaosema...

Azam wamuenzi vyema Mzee Said Mohamed, yatoa kipigo kitakatifu kwa Mwadui

AZAM FC leo wamemuenzi vyema Mzee Said Mohamed kwa kuishushia kipigo cha mbwa mwizi Mwadui FC cha mabao 4-1, mchezo uliofanyika katika Uwanja wa...

Mfahamu mrithi wa nafasi ya Jackson Mayanja Simba

Baada ya aliyekuwa kocha msaidizi wa Simba Jackson Mayanja kujiuzulu nafasi hiyo, kocha Masud Djuma raia wa Burundi anatajwa kuziba nafasi hiyo. Djuma amepata mafanikio...

Azam kileleni kwa muda tu

Kabla ya mechi za Jumamosi, Jumapili na Jumatatu Azam wanaongoza ligi baada ya kuifunga Mbeya City kwenye mchezo wa VPL na kufikisha pointi 16. Kabla...

Yanga kuachwa pointi 3 na Simba “Tunaweza kuzipata pointi 3 kwa anaeongoza ligi”-Mkwasa

Kuelekea mchezo wao wa VPL Jumatano ya Aprili 11, 2018 ambapo Yanga itacheza dhidi ya Mbao, mabingwa watetezi wa ligi wapo nyuma kwa pointi...

EXCLUSIVE: SIMBA IMETANGAZA KIKOSI CHA MSIMU WA 2016-17, MAVUGO, AME ALI NDANI

Simba imekamilisha usajili wa wachezaji kwa ajili ya msimu ujao (2016-17) ambao kwa asilimia kubwa imeufanya kimyakimya hususan ule wa wachezaji wa nje ya...

STORY KUBWA