Friday, September 21, 2018

VPL

Home VPL

Kapombe apimwe mkojo?

Unaweza kuomba Shomari Kapombe apimwe mkojo kujaribu kubaini endapo anatumia dawa za kusisimua misuli, hiyo yote ni kwa jinsi jamaa alivyokamua katika mechi mbili...

Malinzi & Mwesigwa wakamatwa, kwenda mahakamani leo – tuhuma zao za ufisadi hizi hapa

Taarifa kutoka vyanzo mbalimbali zinaeleza kwamba Rais wa shirikisho la soka nchini TFF Jamal Malinzi na katibu mkuu wake Celestine Mwesigwa usiku wa kuamkia...

Hongera Haji Manara kwa ushindi lakini kwa hili la Shaffih Dauda umepayuka

Jana mabingwa wa soka nchini Tanzania klabu ya soka ya Simba Sc ilifanikiwa kutwaa ngao ya hisani katika mchezo wao dhidi ya Mtibwa Sugar...

Jicho la 3: Si Ajib wala Okwi huyu ndiye ‘pilato’ wa Dar-Pacha

Na Baraka Mbolembole KUELEKEA mchezo wa 'Dar Pacha' siku ya Jumamosi hii katika uwanja wa Uhuru, Ibrahim Ajib na Emmanuel Okwi wanaonekana kama 'miungu' ambao...

Manara ametangaza usajili wa pigo takatifu “itakuwa tishio”

Baada ya klabu ya Simba kukamilisha usajili wa Adam Salamba aliyemaliza mkataba na Lipuli, msemaji wa mabingwa wa VPL Haji Manara amesema usajili utakaofuata...

Makocha kuhusu wachezaji wa Mbeya City kuzidi uwanjani

Kizaazaa kiliibuka kwenye mchezo wa ligi kuu kati ya Mbeya City dhidi ya Yanga baada ya benchi la ufundi la Yanga kumfuata na kumlalamikia...

Mwamuzi aliyepewa Simba vs Yanga amewahi kufungiwa kwa kuvurunda mechi

Mwamuzi Mathew Akrama wa Mwanza ndiye aliyepewa jukumu la kuamua mchezo wa Simba na Yanga siku ya Jumamosi February 25, 2017 akisaidiwa na line...

Ni ile ya Ajib, Okwi, Asante Kwassi, Kiduku ipi ‘free kick’ bora zaidi VPL...

Na Baraka Mbolembole MSHAMBULIZI  Mganda, Emmanuel Okwi anaongoza chati ya ufungaji bora katika ligi kuu Tanzania Bara. Kufikia raundi ya 11 kwa kila timu Okwi...

Dar es Salaam-Pacha: Endelea kuiogopa Yanga, hatari ya Simba ni Kwasi na Gyan

Na Baraka Mbolembole LICHA ya kuachwa pointi 11 na viongozi wa ligi-mahasimu wao Simba SC, mabingwa watetezi Yanga SC wataendelea kuwa tishio kwa kikosi cha...

Baada ya Yanga 1-1 Simba, kikosi kipya cha Lwandamina kinaweza kutwaa VPL nyingine 2...

Na Baraka Mbolembole KIWANGO cha juu kutoka kwa kocha Mzambia, George Lwandamina katika machaguo ya wachezaji, mbinu na usomaji wa mchezo kumempa 'heshima kubwa' kocha...

STORY KUBWA