Saturday, September 22, 2018

VPL

Home VPL

MAJIBU YA MALINZI BAADA YA KUHUSISHWA NA UPANGAJI MATOKEO LIGI DARAJA LA KWANZA (Video)

Suala la timu za Geita Gold Sports, Polisi Tabora, JKT Oljoro na JKT Kanembwa leo limezua kizaa-zaa baada ya Rais wa TFF Bw. Jamal...

DaudaTV: Uchambuzi wa mechi ya Simba Vs Yanga by Edgar Kibwana (Part 1)

Jumamosi hii tutashuhudia mechi kubwa kwenye ligi kuu ya Vodacom ambapo Simba watacheza dhidi ya Yanga. Hii Hapa ni video kutoka Dauda TV ambapo...

 IBRAHIM TWAHA: NAIHESHIMU AZAM, LAKINI HATA YANGA WALIKUJA KAMA WAO

Ibrahim Twaha ‘Messi wa Tanga’ ni miongoni mwa wachezaji ma-kinda wanaofanya vizuri sana kwenye soka la bongo, kwasasa akiwa anakitumikia kikosi cha Coastal Union...

WAWILI MBARONI KWA KUUZA TICKET FEKI ZA VPL

Hii ni soka series episodi ya nje ya uwanja,wakati mchezo kati ya Majimaji na Mgambo JKT kutoka Tanga unapigwa huku milangoni watu wakaona njia...

YANGA YATEMA WATATU SAFARI YA MAURITIUS

Kikosi cha Yanga SC kitaanza safari ya kuelekea Mauritius   kesho (Jumatano) alfajiri kwenda kukipiga mchezo wa awali wa klabu bingwa Afrika dhidi ya Cercle...

KWA NINI LIEWIG AMEWAWEKA KANDO CHANONGO NA UBWA?

Na Baraka Mbolembole MARA kadhaa kumeripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari kuwepo kwa misuguano ndani ya timu ya Stand United ya Shinyanga. Awali kulikuwa...

HII NDIYO VITA YA WANAUME 7 WANAOWANIA TUZO YA UFUNGAJI BORA VPL

Amis Tambwe hakucheza kabisa katika mchezo wa timu yake ya Yanga dhidi ya JKT Ruvu na Hamis Kizza hakufunga katika mchezo wa timu yake...

NI VITA KILA MAHALI, UBINGWA NJIA PANDA, POINTI 30 ZITATOSHA KWA TIMU KUTOSHUKA DARAJA?

Na Baraka Mbolembole Katika mbio za ubingwa bila shaka sare ya 1-1 ugenini dhidi ya Ndanda SC itakuwa imewaondoa rasmi timu ya Mtibwa Sugar ya...

MWAMBUSI: USHINDI DHIDI YA JKT RUVU UTATUSAIDIA KIMATAIFA

Kocha msaidizi wa Yanga Juma Mwambusi anasema matokeo ya ushindi wa magoli 4-0 ambayo timu yake imepata jana kwenye mchezo wa ligi dhidi ya...

ARSENAL YARUDI KWENYE MBIO ZA EPL

Arsenal leo wamefanikiwa kupata ushindi wa kwanza baada ya kushindwa kufanya hivyo katika michezo minne iliyopita kwa kuwachapa Bournemouth kwa magoli 2-0. Magoli ya Arsenal...

STORY KUBWA