Thursday, September 20, 2018

VPL

Home VPL

Klabu mpya ya Hassan Kessy, Usipime! Simba na Yanga zinasubiri

Hivi karibuni Hassan Kessy amejiunga na klabu ya Nkana Fc ya Zambia na kukabidhiwa jezi nambari 22. Nkana Fc ni timu gani? Kichapo chao cha mwisho...

Simba Day imetisha nje na ndani

August 8, 2018 Simba imeendelea na utamaduni wake wa kutambulisha wachezaji kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa mashindano mbalimbali ikiwa ni pamoja na...

Kwa heri Youthe Rostand

Uongozi wa Yanga umetangaza kiachana na golikipa Youthe Rostand raia wa Cameroon baada ya pande mbili kukubaliana kuvunja mkataba. Ofisa habari wa Yanga Dismas Ten...

Rostand safari imeiva Yanga

Hatma ya Youthe Rostand itajulikana wakati wowote kuanzia sasa ndani ya Yanga. Inaelezwa uongozi wa timu hiyo upo katika mipango ya kumpiga chini kuelekea...

Mkongwe Chuji anarudi VPL “ukijua tuliza mpira na kutoa pasi inatosha”

Star wa zamani wa vilabu vya Simba nanYanga Athumani Idd 'Chuji' msimu wa 2018/19 tutamuona tena ligi kuu Tanzania bara akiwa na timu ya...

Hee! Kumbe Fei Toto na Obi Mikel wana wenzao wengi Ulaya

Feisal Salum aka Fei Toto, kama ni man of the match wakati wa dirisha la usajili baaso Fei Toto angebeba kiatu hicho, Toto kutoka...

Dilunga: Simba ni sehemu sahihi na jina lako ni baraka

Baraka zinapokuja hakuna wa kuzuia. Ni Mungu tu ndiye atakaeamua. Hassan Dilunga ni mchezaji mwenye bahati kubwa sana kwa sasa. Amekuwa na msimu mzuri...

Imetajwa sababu Simba kuichagua Uturuki

Rais wa klabu ya Simba Salim Abdallah 'Try Again' amesema sababu iliyowafanya kuchagua kuweka kambi Uturuki kwa ajili ya maandalizi ni hali ya hewa...

UFAFANUZI: Kwa nini kocha wa Yanga hakai kwenye benchi?

Mwenyekiti wa kamati ya usajili na mashindano Yanga, Hussein Nyika amefafanua kwa nini kocha Zahera Mwinyi hakai kwenye benchi kutokana na kukosa kibali cha...

Manyika amemtetea Rostand

Baada ya Yanga kupoteza mchezo wao wa marudiano wa kombe la shirikisho Afrika kwa kufungwa 3-2 na Gor Mahia, lawama nyingi zimeelekezwa kwa golikipa...

STORY KUBWA