Friday, September 21, 2018

VPL

Home VPL

Shaffih Dauda kuelekea msimu mpya wa ligi kuu Tanzania

Ligi kuu Tanzania bara inataraji kuanza hapo kesho, mambo mengi yametokea hapa katikati lakini kabla filimbi ya kuanza igi yetu kuanza nimeona ni bora...

Bocco bado anauota ubingwa wa VPL 2016/17

Zainabu Rajabu NAHODHA wa Azam FC, John Bocco amesema wataingia kwenye mbio za kupigania ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuifunga Yanga...

MBABE WA TAMBWE ATEMWA RUVU SHOOTING

Beki wa kati wa George Osei ametemwa na klabu ya Ruvu Shooting ambayo tayari imeshatangaza nyota wake iliowasajili na kuwatema taya kwa ajili ya...

NIYONZIMA AANZA RASMI MAKAMUZI YANGA, HII NDIYO KAULI YAKE YA KWANZA

Kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima ambaye mkataba wake na klabu hiyo ulivunjwa kutokana na makosa ya kinidhamu ya nahodha huyo wa Rwanda, leo ameanza...

Hivi Haji Manara ni msemaji wa Simba au msemaji wa maoni yake binafsi?

"Jangwani na Msimbazi siwatanii, mimi sio mtani wenu, kwanza tangu lini tukawa watani? mimi ni mweli mwenye ukweli na huo ndio ukweli. Msimu huu...

Obrey Chirwa alichelewa, je atafika safari aliyoianza?

Na Athumani Adam Kuna wakati mchezaji mzuri anashindwa kuwa bora pindi anapohamia timu nyingine. Mfano Andriy Shevchenko, Fernando Torres ni miongoni mwa wachezaji ambao waliwahi...

Maneno ya Mavugo kwa mashabiki kuhusu ubingwa wa VPL

Na Zainabu Rajabu MSHAMBULIAJI wa Simba Laudit Mavugo, amesema wamepanga kuhakikisha wanashinda mechi zote zilizobaki ili waweze kutwaa ubingwa wa ligi kuu msimu huu. Simba sasa...

“Sijafurahishwa na ushindi wa goli moja” Mgosi alitaka Yanga wafungwe ngapi?

Wanasema ushindi ni ushindi haijalihi ni wa aina gani lakini legendary wa Simba Mussa Hassan Mgosi kwa upande wake anasema hajafurahia Simba kupata ushindi...

MBEYA CITY YATUA SHINYANGA KUMKABILI JULIO

Kikosi cha Mbeya City Fc  tayari kimetua mkoani Shinyanga tayari kwa mchezo wa duru ya lala salama ya ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara...

Mshindi wa tuzo ya Mo Simba Awards atupia mbili Ndondo Cup

Michezo ya Ndondo Cup hatua ya makundi imeendelea leo Jumanne June 12, 2018 kwa mechi mbili kuchezwa viwanja tofauti. Uwanja wa Chuo cha Utalii...

STORY KUBWA