Tuesday, September 25, 2018

VPL

Home VPL

‘MA-NAHODHA WATANO’, HANS ANABEBWA NA MASTAA WAKE VIONGOZI NDANI YA UWANJA

Na Baraka Mbolembole MIAKA 9 mfululizo kama mchezaji wa timu ya Taifa ya Rwanda 'Ammavubi,' kiungo mchezesha timu Haruna Niyonzima tayari ameiwakilisha nchi yake mara...

DAVID MWANTIKA:  SIMBA SC KUWA NA MICHEZO 3 ZAIDI KUNA JAMBO NALIONA, JITIHADA ZIMENIFANYA...

Na Baraka Mbolembole Wakati Jose Mourinho anakaribia kuutema ubingwa wa Ligi kuu ya England msimu wa 2006/07 mbele ya Sir Alex Ferguson alikuwa akilalamikia sana...

BOCCO AMEZALIWA KUZIFUNGA YANGA/SIMBA, NI MSHAMBULIZI MKALI ZAIDI AMBAYE HAJATOKEA

Na Baraka Mbolembole Mechi yake ya kwanza tu kukutana na Yanga SC alifunga bao, na kufikia mechi ya 16 ya ligi kuu Azam FC dhidi...

BAO LA LYANGA LILIFUFUA MATUMAINI YA SIMBA MBELE YA MBEYA CITY (Video)

Danny Lyanga akiingia kipindi cha pili kutoka benchi, aliifungia Simba bao la kwanza na la kuongoza katika mchezo dhidi ya Mbeya City ambapo Simba...

SIMBA YAITUNGUA MBEYA CITY KWA MARA YA KWANZA TAIFA NA KUREJEA KILELENI MWA VPL

Ushindi wa magoli 2-0 iliyoupata leo timu ya Simba SC dhidi ya Mbeya City kwenye uwanja wa taifa ni ushindi wa kwanza wa 'Wekundu...

HASSAN ISIHAKA, ‘NAHODHA MTOTO’ ALIYESHINDWA KUWA VICTOR COSTA MPYA SIMBA SC

Na Baraka Mbolembole Walinzi wangapi namba 5 wakali umewahi kuwaona Simba SC? Siwezi kuzungumza kuhusu George Masatu mmoja wa 'ma-libero' wanaotajwa kuwa mahiri zaidi kuwahi...

MANARA AMESHINDWA NJE YA UWANJA, AKASHINDWA UWANJANI NA ATASHINDWA ANAKOTAKA KWENDA

Na Baraka Mbolembole Njia pekee ya kutosikia 'maneno ya kejeli na najisifu' ya Mkuu wa kitengo cha habari wa klabu bingwa nchini, Jerry Muro ni...

AJIB ANYAKUA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI

Katika kuongeza morali na kuwazawadia wachezaji wanaofanya vizuri, Klabu ya Simba ilianzisha tuzo ya mchezaji bora wa mwezi kuanzia mwezi September 2015. Mshindi wa mwezi...

YANGA YASONGA MBELE KLABU BINGWA AFRIKA, SASA KUKUTANA NA TIMU YA ZAMANI YA NIYONZIMA

Yanga imefanikiwa kuiondosha timun ya Cercle de Joachim ya Mauritius kwa jumla ya bao 3-0 baada ya leo kuichapa kwa bao 2-0 kwenye mchezo...

JONESIA RUKYAA SI MWAMUZI WA KWANZA MWANAMKE, HII NDIYO TOP 10 YA MAREFA BORA...

Katika soka refarii anakuwa na nafasi kubwa sana ya kuufanya mchezo wa soka kuwa mzuri au kuuharibu. Katika soka refarii anakuwa na kazi ya...

STORY KUBWA