Thursday, December 14, 2017

VPL

Home VPL

Chirwa, Okwi, bampa to bampa

Hat-trick ya mshambuliaji wa Yanga Obrey Chirwa ni ya pili kwenye ligi kuu Tanzania bara baada ya Emanuel Okwi kufanya hivyo (Okwi alifunga goli...

Kiungo wa Kagera Sugar anarudi Manungu na ‘mzimu’ wa Himid Mao

Wakati Kagera Sugar itakapokuwa ugenini leo kucheza dhidi ya ndugu zao Mtibwa Sugar kwenye uwanja wa Manungu, kuna sehemu ya timu ya Kagera Sugar...

Rekodi inaibeba Yanga nyumbani vs Mbeya City

Leo Jumapili ya November 19, 2017 kikosi cha Yanga kitakuwa uwanja wa Uhuru kuikabili Mbeya City.  Yanga ina rekodi nzuri dhidi ya Mbeya City...

Simba imeangusha mbuyu wa Prisons Sokoine

John Bocco ameipa Simba ushindi wa kwanza dhidi ya Tanzania Prisons tangu iliposhinda mara ya mwisho 2013 kwenye uwanja wa Sokoine Mbeya. Bao pekee la...

Rekodi za Manyika Jr zamkalisha Aishi Manula

Peter Manyika Jr ambaye ni golikipa wa Singida United amemkalisha  golikipa wa Simba Aishi Manula kwa kucheza mechi nyingi bila kuruhusu goli (clean sheets)....

Singida United yaikaba koo Yanga

Ushindi wa goli 1-0 ilioupata timu ya Singida United dhidi ya Lipuli unaifanya timu hiyo ya mkoani Singida kufikisha pointi 17 sawa na Yanga...

Miaka 4 imepita, Simba haijaifunga Prisons uwanja wa Sokoine

Imepita miaka minne tangu Simba ilipopata ushindi wake wa mwisho dhidi ya Tanzania Prisons kwenye uwanja wa nyumbani wa maafande wa jeshi la Magereza,...

Pius Buswita Jogoo la shamba linalowika mjini, Hoza, Haule, Mseja, Mwambeleko, chali  

Pius Buswita ameukataa  ule msemo wa ‘wahenga’ “Jogoo la shamba haliwiki mjini”, wakati wenzake wanne wamedhihirisha wahenga hawakukosea katika kauli hiyo. Baada ya kumalizika ligi...

Mwantika kucheza mechi ya kwanza VPL 2017/2018

Beki wa kati wa Azam David Mwantika hacheza mechi yoyote tangu kuanza kwa msimu huu (2017/2018) ikiwa tayari Aza imeshacheza mechi tisa (9) hadi...

Banka azikaribisha Simba, Yanga

Na Abubakar Khatib 'Kisandu', Zanzibar Dirisha dogo la usajili kwa msimu wa 2017-18 limefunguliwa Jumatano ya November 15, 2017 kwa ajili ya vilabu vya madaraja...

STORY KUBWA