Thursday, September 20, 2018

VPL

Home VPL

MBEYA CITY: TUNAKAMILISHA MSIMU KWA ‘KUIUA’ NDANDA FC

KIKOSI cha Mbeya City Fc  kesho jumapili kinashuka kwenye uwanja wa Sokoine jijini hapa kucheza mchezo wa kufungia msimu  wa 2015/16 katika ligi kuu...

UKIMUULIZA HIMID KUHUSU UBINGWA WA VPL, HILI NDIYO JIBU LAKE

Kiungo wa Azam FC Himid Mao Mkami amesema ni mapema sana kuzungumzia habari za ubingwa wa VPL msimu wa 2016-17 kwasababu ligi bado iko...

Dkt. Msola amezungumzia issue ya wachezaji kutoa rushwa ili waitwe timu ya taifa

Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Nigeria Daniel Amokachi ambaye pia aliwahi kuwa kocha msaidizi wa timu hiyo, ametoa ya moyoni kuhusu...

Mbabe wa Okwi aangukia kifungoni

Kama unakumbuka Februari 4, 2018 mlinzi wa Ruvu Shooting Mau Bofu alimpiga kiwiko mshambuliaji wa Simba Emanuel Okwi muda mfupi kabla ya mapumziko na...

Jicho la 3: Yanga SC inamuhitaji Said Makapu mpya, si Mbuyu, namsubiri Justine Zulu

Na Baraka Mbolembole SAID Juma Makapu alianza vizuri majukumu yake kama mchezaji wa Yanga SC msimu wa 2014/15. Japokuwa alikuwa kijana mdogo kiumri, huku akitokea upande...

RATIBA YA MECHI ZOTE ZA VPL JUMAMOSI DECEMBER 19

Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara inaendelea tena leo kwa michezo sita kupigwa kwenye viwanja vya miji sita tofauti ikishuhudia timu 12 zikishuka uwanjani...

Azam yaifukuzia Simba

ULIKUWA ni usiku mzuri kwa Azam FC, baada ya kuichapa Ndanda mabao 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) uliofanyika Uwanja wa...

PICHA 17: JULIO NA MWADUI YAKE WALIVYOIPA YANGA KOMBE LA VPL

Jumapili ya May 8, 2016, kikosi cha Mwadui FC kiliichapa Simba SC bao 1-0 kwenye uwanja wa taifa na kuchochea zaidi moto wa Yanga...

JULIO ATOBOA SIRI YA ‘MIZENGWE’ NDANI YA MWADUI, VIPI KUHUSU KUTAKIWA NA AZAM FC?

Kwa mara ya kwanza kocha mkuu wa Mwadui FC, Jamuhuri Kiwelu Julio amefichua siri ya ‘mizengwe’ aliyowahi kukutana nayo kwenye klabu ya Mwadui FC...

Bocco kawapiga bao Okwi, Kichuya Mo Simba Awards 2018

Mshambuliaji John Bocco amewapiga bao wachezaji wenzake wa Simba Shiza Kichuya na Emanuel Bocco baada ya kuwashinda katika tuzo ya mchezaji bora wa Simba...

STORY KUBWA