VPL

Home VPL

Simba yasusa zawadi VPL

Klabu ya Simba imegoma kuchukua zawadi ya mshindi wa pili mara baada ya mchezo wake wa mwisho wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya...

Sentensi ya Manara baada ya ushindi wa Yanga vs Toto

Waswahili wanamsemo wao usemao 'asiyekubali kushindwa si mshindani' kauli hii inathibitishwa na Haji Manara msemaji wa Simba anaetumikia kifungo cha mwaka mmoja kujihusisha na...

Hivi ndivyo ushirikina ulivyotawala Yanga vs Toto Africans

Bado soka letu limefunikwa na wingu la kishirikina kuliko maandalizi na kucheza kwa mbinu za kuwapatia ushindi uwanjani. Leo baada ya mchezo wa ligi...

Niyonzima kuhusu mechi ya Toto

Na Zainabu Rajabu KIUNGO wa Yanga Haruna Niyozima amekiri mchezo wao dhidi ya Toto Africans ulikuwa mgumu licha ya kushinda bao moja katika Uwanja wa...

Picha5: Yanga walivyosherekea kuifunga Toto Africans

Ushindi una raha yaka hususan ule unaokufanya uwe bingwa wa taji unalolipigania wakati huo. Wachezaji, benchi la uundi pamoja na mashabiki wa Yanga waliripuka kwa...

99% Yanga bingwa VPL 2016/17

Ushindi wa Yanga wa goli 1-0 dhidi ya Toto Africans unaifanya Yanga kuusogelea bingwa wa Ligi Kuu Tanzania bara baada ya kufikisha pointi 68...

Baada ya Hans Pope kurejea kundini – Simba sasa wameamua hivi juu ya Sakata...

Baada ya saa 48 za sintofahamu katika klabu ya Simba, juu ya malalamiko ya Mohamed Dewji kuhusu dili la klabu hiyo na Sports Pesa,...

Yanga inahitaji pointi 3 kutangaza ubingwa

Yanga wanahitaji pointi tatu pekee ili kutangaza ubingwa wao katika msimu huu kabla ya mechi za mwisho za ligi Mei 20, 2017. Baada ya...

Msimamo wa wachezaji wa Ndanda kama hawatolipwa mishahara

Ikiwa imebakiza mechi mbili kabla ya kumaliza ligi kuu Tanzania bara, Ndanda FC ya mkoani Mtwara imezidi kugubikwa na wingu la ukata baada ya...

Simba imefikia rekodi yao ya msimu uliopita

Ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya African Lyon umeifanya ifikishe pointi 62 na kuifikia rekodi waliyoiweka msimu uliopita walipomaliza ligi wakiwa na jumla ya...

STORY KUBWA