Thursday, September 20, 2018

VPL

Home VPL

MURO AOMBA RADHI SIMBA

Ofisa habari wa Yanga Jerry Muro amesewaomba radhi mashabiki na viongozi wa Simba kutokana na maneno ambayo alikuwa akiyatumia wakati wa ligi kuu ya...

MGOSI: KAZI YANGU NI KUHAKIKISHA SIMBA INAPATA USHINDI

Mshambuliaji mkongwe na nahodha wa Simba Mussa Hassan Mgosi aliingia kipindi cha pili akitoka kwenye benchi kuchukua nafasi ya Hamisi Kiiza wakati Simba ikicheza...

TFF KATIKA TUHUMA NYINGINE NZITO, ACHANA NA ILE YA KUKWEPA KODI KODI

Kweli soka la bongo ni kizungumkuti, waamuzi wanaochezesha liki kuu ya Voidacom Tanzania bara wamefichua ‘jipu’ jingine ndani ya Shirikisho la Mpira wa Miguu...

BURUDANI YA MBEYA CITY FC ITATOWEKA MAZIMA?

Na Baraka Mblemble, Dar es Salaam, Burudani kubwa katika ligi kuu Tanzania bara misimu miwili iliyopita ilikuwa kutoka Mbeya City FC. Sio tu uwanja wa...

Kuelekea Dar derby: Matokeo ya mechi 7 zilizopita Simba vs Yanga hakuna kibonde

Asikwambie mtu, presha ya mechi ya Simba na Yanga haizoeleki kwa makocha, wachezaji, viongozi, wanachama na mashabiki hadi mchezo unapokuwa umemalizika. Mara kadhaa wachezaji...

Video-Kocha wa Mwadui anaamini mazuri zaidi yanakuja

Kocha mkuu wa Mwadui FC Ally Bizimungu amesema wachezaji kumsikiliza na kufuata maelekezo yake uwanjani pamoja na viongozi kutimiza majukumu yao kutaifanya timu ifanye...

Kijembe cha Zitto Kabwe kwa Yanga baada ya kufungwa na Stand United

Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini Zitto Kabwe ambaye ni shabiki mkubwa wa klabu ya Simba, ame-tweet kwenye account yake ya twitter akiipiga kijembe...

HAWA NDIYO ‘MASWAHIBA’ WA VPL WANAOCHEZA TIMU TOFAUTI

Ukiachana na upinzani mkali wa vilabu vya Azam, Simba na Yanga kwenye soka la Bongo, wachezaji wa vilabu hivyo ni washkaji sana wanapokuwa nje...

STORY KUBWA