Monday, September 24, 2018

VPL

Home VPL

KLABU YA VPL YAMPIGA CHINI MCHEZAJI WAKE KWASABABU ZA U-BALOTELLI

Katika vitu ambavyo hutakiwi kuvifanyia masihara ukiwa mchezaji wa vilabu vinavyomilikwa na jeshi ni suala la nidhamu, hawa jamaa hawana utani wala uvumilivu kwa...

MSIKIE JULIO ANAVYOSEMA KUHUSU SHINYANGA DERBY

Wakati macho na masikio ya wengi yakiwa yameelekezwa kwenye mchezo kati ya Azam FC dhidi ya Simba SC utakaochezwa December 12 kwenye uwanja wa...

KOCHA WA AZAM FC BYE BYE,ABWAGA MANYANGA SABABU HIZI HAPA.

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, leo imeachana rasmi na aliyekuwa Kocha Mkuu wake, Stewart Hall, baada ya kufanyika makubaliano ya...

KIONGERA ATUA SIMBA, NA HILI NDIYO NENO LAKE LA KWANZA…

Katika muendelezo wa kuboresha kikosi cha Simba, mchezaji Raphael Kiongera amewasili rasmi jana jioni katika kambi ya Simba visiwani Zanzibar. Mshambuliaji huyu wa kimataifa amewasili...

AZAM FC WATAFANYA TENA WALICHOWAHI KUFANYA?

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam, Kufanikiwa kwenye msimu maalum mara zote ni kitu cha kustaajabisha na kufurahisha, kufanikiwa kwenye misimu misimu miwili ni kitu...

DAUDA TV: AMIS TAMBWE ANAENDELEA KUWATESA MAGOLIKIPA WA VPL

Tambwe amekuwa habari ya mjini kwa sasa na hii ni baada ya kutupia goli tano kwenye mechi mbili za ligi kuu Tanzania bara. Tambwe alifunga...

DAUDA TV: USIKUBALI KUPITWA NA EXCLUSIVE INTERVIEW NA MAGULI

Elius Maguli amekaa mbele ya camera ya Dauda TV na kufanya mahojiano maalum. Hii hapa ndio interview nzima kupitia timu ya ushindi Dauda TV. https://www.youtube.com/watch?v=Fwx0ZMv8lWY

Kauli ya Ivo Mapunda akiwa mazoezini kuhusu kujiunga na Azam FC

Ivo Mapunda hivi sasa ni mchezaji wa Azam FC akiwa anaongeza safu ya kikosi hicho kwenye sehemu ya ulinzi wa lango lao. Kupitia Azam...

STORY KUBWA