Tuesday, September 18, 2018

VPL

Home VPL

Msimamo wa wachezaji wa Ndanda kama hawatolipwa mishahara

Ikiwa imebakiza mechi mbili kabla ya kumaliza ligi kuu Tanzania bara, Ndanda FC ya mkoani Mtwara imezidi kugubikwa na wingu la ukata baada ya...

Ally Mayay, Oscar Oscar, kuhusu Yondani kumtemea mate Kwasi

Kitendo cha beki wa Yanga Kelvin Yondani kumtemea mate mchezaji wa Simba Asante Kwasi katika mchezo wa watani wa jadi Jumapili iliyopita, kinaendea kujadiliwa...

Kocha mpya wa Simba kiboko! ‘watapata tabu sana’

Na Priva Abiud (Privaldinho) Wakati wa michuano ya Sportpesa kulizuka sintofahamu kuhusu mkuu wa dawati la ufundi la Simba. Ilisemekana kuwa Piere ametupiwa virago vyake....

Mrithi wa Pluijm asaini miaka miwili Yanga

Taarifa inayosambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ni ujio wa kocha mpya George Lwandamina anayetajwa kuchukua nafasi ya Babu Hans van der Pluijm...

Mzamiru, MO, wameirudisha Simba kwenye nafasi yake

Magoli ya Mzamiru Yassin na Mohamed Ibrahim yameirejesha tena Simba katika nafasi ya kwanza ya msimamo wa ligi kuu Tanzania bara baada ya kuifunga...

Msuva anataka kurudisha kiatu nyumbani?

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Simon Msuva ameendelea kufunga kwenye mechi za ligi kuu Tanzania bara na sasa amefikisha magoli 10 na ndiyo kinara kwa...

Audio: Kamati ya saa 72 imeipa Simba pointi 3 na magoli matatu, Simba imefikisha...

Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa Ligi Tanzania, maarufu kama Kamati ya Saa 72 imeipa Simba SC pointi tatu na mabao matatu kutokana na...

Dilunga na mikwara kama yote kuelekea mtanange wao vs Prisons hii leo

Na Tima Sikilo KIUNGO wa timu ya Simba Hassan Dilunga, ametamba kuendelea kufanya vizuri leo katika mchezo wao wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara...

Naogopa, wachezaji hawafikirii mechi ya Stand United”-kocha Simba

Kocha wa Simba Pierre Lechantre amesema wachezaji wake wanafikiria sana kuhusu mchezo wa Caf Confederation Cup dhidi ya Al Masry jambo ambalo linaweza kupelekea...

JKT RUVU YAIREJESHA YANGA KWENYE RELI

JKT Ruvu imekubali kichapo cha magoli 4-0 kutoka kwa Yanga na kuirejesha timu hiyo kwenye reli baada ya kuwa na wiki ya tabu kufuatia...

STORY KUBWA