Monday, September 24, 2018

VPL

Home VPL

MAZANDA: NIMEANZA MAZOEZI ‘MDOGO-MDOGO’

Na Baraka Mbolembole KIUNGO 'maestro' Steven Mazanda ameanza mazoezi baada ya kusumbuliwa na maumivu ya muda mrefu. Mchezaji huyo wa Mbeya City FC amekuwa na...

JULIO AWACHIMBA ‘MKWARA’ WANAOMLETEA MAGUMASHI

Kocha mkuu wa Mwadui FC Jamuri Kihwelo ‘Julio’ amewatolea uvivu wale wote ambao wamekuwa wakibeza mafanikio yake lakini wakidai pengine angefukuzwa mapema lakini yeye...

Kaijage abwaga manyanga Toto Africans

Baada ya Toto kukufungwa 1-0 mchezo wa Jumapili dhidi ya Ndanda FC, kocha mkuu wa Toto Africans Rogasian Kaijage ametangaza kuachia ngazi nafasi ya...

WAAMUZI WALIA NA UDHAMINI VPL

Katika hali isiyo ya kawaida, kumekuwepo na malalamiko kutoka kwa mmoja wa waamuzi wa ligi kuu ya soka Tanzania bara akidai kwamba, marefa wa...

KWA NINI LIEWIG AMEWAWEKA KANDO CHANONGO NA UBWA?

Na Baraka Mbolembole MARA kadhaa kumeripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari kuwepo kwa misuguano ndani ya timu ya Stand United ya Shinyanga. Awali kulikuwa...

TIMU YA VPL YAKANUSHA TAARIFA YA KUHAMA UWANJA

Uongozi wa juu wa klabu ya Mgambo JKT ya jijini Tanga umekanusha taarifa za kuuhama uwanja wa Mkwakwani baada ya baadhi ya vyombo vya...

RASMI: IVO MAPUNDA ASAINI MKATABA NA AZAM FC

Kikosi cha timu ya Azam FC kimempa mkataba wa muda mfupi golikipa wa zamani wa vilabu vyaTanzania Prisons, Yanga na  Simba vya Tanzania Ivo...

Mwambusi ameuongelea ushindi wa kwanza akiwa Mkuu wa Benchi la Ufundi Yanga

Kocha Mkuu wa muda wa klabu ya Yanga SC Juma Mwambusi amepongeza wachezaji wake kwa kile walichofanya kwenye mchezo wa jana dhidi ya wanajeshi...

SESEME AIKANA MBEYA CITY, KUSAINI…

Na Baraka Mbolembole KIUNGO mshambulizi wa zamani wa Simba SC, Abdallah Seseme amekanusha kutakiwa na Mbeya City FC ya Mbeya na badala yake anataraji kusaini...

STORY KUBWA