Sunday, September 23, 2018

VPL

Home VPL

PICHA: MKWASA, MOROCCO, WAISHUHUDIA AZAM IKITOA DOZI 

Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Charles Boniface Mkwasa pamoja na msaidizi wake Hemed Morocco jana walikuwepo uwanjani kushuhudia mchezo wa ligi...

KAVUMBAGU: NIPO TAYARI KUONDOKA AZAM KULIKO ‘KUSUGUA’ BENCHI

Mshambuliaji wa kimataifa wa Azam FC kutoka nchini Burundi Didier Kavumbagu, amesema kuwa yupo tayari kuondoka kwenye klabu hiyo kama ataendelea kusugua benchi kwenye...

AZAM YAKWEA KILELENI RASMI, KAVUMBAGU ADHIHIRISHA UBORA WAKE

Mabingwa wa kombe la Kagame Azam FC wamefanikiwa kukaa kileleni mwa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara baada ya kuibuka na ushindi wa goli...

VIDEO: ANGALIA GOLI LA HAMISI KIIZA DHIDI YA COASTAL UNION

Hamis Kiiza 'Diego' aliifungia Simba bao pekee kwenye ushindi wa Simba wa goli 1-0 dhidi ya Coasta Union mchezo wa ligi kuu Tanzania bara...

KOCHA WA TOTO AFRICANS AWAAGA RASMI WACHEZAJI NA WAKAZI WA JIJI LA MWANZA

Kocha mkuu wa timu ya Toto Africans mjerumani Martin Grelics jana amewaaga wachezaji na mashabiki wa Toto African mara baada ya mchezo kati ya...

MAYANJA AWAMWAGIA PONGEZI WAAMUZI LICHA YA KIPIGO

Kocha mkuu wa timu ya Coastal Union Jackson Mayanja ameibuka na kuwamwagia sifa waamuzi waliochezesha mchezo kati ya Simba dhidi ya Coastal Union akisema...

MGOSI: KAZI YANGU NI KUHAKIKISHA SIMBA INAPATA USHINDI

Mshambuliaji mkongwe na nahodha wa Simba Mussa Hassan Mgosi aliingia kipindi cha pili akitoka kwenye benchi kuchukua nafasi ya Hamisi Kiiza wakati Simba ikicheza...

MATOKEO YA MECHI ZOTE ZA VPL ZILIZOCHEZWA JUMATANO

Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara imeendelea kwenye viwanja kadhaa na kushuhudia timu zikipata matokeo tofauti wakati zilipokuwa zikiwania pointi tatu ili kujiweka kwenye...

KIIZA AREJEA KUTOKA MAJERUHI NA KUTUPIA NYAVUNI, SIMBA IKIPATA POINTI 3

Hamisi Kiiza ameifungia Simba goli pekee kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara dhidi ya Coastal Union mechi iliyochezwa kwenye uwanja wa...

MGOSI AWATIA MOYO WAPENZI WA SIMBA

Mchezaji mkongwe na nahodha wa klabu ya Simba SC Musa Hassan Mgosi amewataka wapenzi wa Simba kutokata tamaa kutokana na matokeo ya kufungwa mechi...

STORY KUBWA