Tuesday, September 25, 2018

VPL

Home VPL

Kambale ametaja maana ya jina lake “Tanzania mnafikiri ni samaki”

Jina la mshambuliaji wa Singida United Papy Kambale limepata umaarufu haraka nchini kutokana na maana ya jina hilo hapa Tanzania. Ukitaja ‘Kambale’ moja kwa moja...

MECHI 3 VPL 2016/17 YANGA SC IMESHALETA TOFAUTI, HIVI NDIVYO LIGI ILIVYO…

Na Baraka Mbolembole TIMU tano hazijapoteza mchezo hadi kufikia raundi ya nne ya ligi kuu Tanzania Bara (VPL) msimu huu. Mabingwa watetezi Yanga SC si...

Okwi ameiteka Dar

Mshambuliaji wa Simba Emanuel Okwi ameendelea kutesa kwenye viwanja viwili vya Dar es Salaam katika michezo ya ligi kuu Tanzania bara baada ya kuisaidia...

Nafasi kwa Mtibwa kuzipiga bao Simba, Yanga na Azam

Baada ya sare ya jana kati ya Yanga na Simba, leo ni nafasi kwa Mtibwa Sugar kuongoza ligi kwa tofauti ya pointi mbili endapo...

Hesabu za Yanga kwa Simba haziwaachi salama Majimaji

Leo Jumatano ya Februari 14, 2018 wakati watu wengi wakiwa kwenye shamrashamra za Valentine's Day, Yanga na Majimaji watakuwa wakisambaza upendo uwanjani kwenye mchezo...

KOCHA WA SIMBA ATOA LA MOYONI KUHUSU MAGULI

Mshambuliaji hatari wa Stand United,  Elius Maguli ana mabao manane katika Ligi Kuu Bara na ndiye kinara wa ufungaji, Kocha wa Simba, Dylan Kerr,...

MAYANJA: POINTI TATU NDIYO KILAKITU

Baada ya kupata ushindi wa tano mfululizo kwenye ligi ya Vodacom Tanzania bara huku ukiwa ni ushindi wa sita tangu achukue majukumu ya kuifundisha...

Mayanja azungumzia ubingwa, atambia safu yao ya ulinzi

Na Zainabu Rajabu Kocha msaidizi wa Simba Jackson Mayanja, amesema ushindi walioupata dhidi ya Mwadui unazidi kuwahahikishia nafasi ya wao kutwaa ubingwa msimu huu. Pia aliipongeza...

Azam kileleni kwa muda tu

Kabla ya mechi za Jumamosi, Jumapili na Jumatatu Azam wanaongoza ligi baada ya kuifunga Mbeya City kwenye mchezo wa VPL na kufikisha pointi 16. Kabla...

‘Yanga kwetu ni kama gari la maiti, lazima wafungwe hakuna namna’ – Julio

Kocha maarufu Jamhuri Kihwelu ‘Julio’ amesema, watani zao Yanga hawana tofauti na gari la maiti, la kwanza kuondoka la mwisho kurudi akimaanisha kwamba, wakati...

STORY KUBWA