Tuesday, September 18, 2018

VPL

Home VPL

Azam imecheza mechi 7 VPL bila ushindi

Azam FC imemeshachezaji mechi saba za ligi kuu Tanzania bara bila ushindi baada ya leo kulazimisha sare ya kufungana 1-1 dhidi ya Mtibwa Sugar...

MBONDE: HATUJAKATA TAMAA YA UBINGWA, FA PIA NI MALENGO YETU

Na Baraka Mbolembole MLINZI wa kati na nahodha msaidizi wa timu ya Mtibwa Sugar, Salim Mbonde amesema kuwa hawatishiki na pengo la pointi kumi lilipo...

JULIO: HATA TUNGECHEZA DAKIKA 600 TUSINGESHINDA

Kocha wa Mwadui FC ya mkoani Shinyanga Jamhuri Kihwelu ‘Julio’ amewageukia waamuzi wa mchezo wa African Sports vs Mwadui FC na kuwatuppia mzigo wa...

AZAM MMEMSIKIA LAKINI ANACHOKISEMA MGOSI?

Mnyama Simba baada ya kukamilisha mawindo yake visiwani Zanzibar, jana alirejea jijini Dares Salaam kwa ajili ya pambano lake la Ligi kuu ya Vodacom...

KUNA YE YOTE ANAYEWEZA KUIZUA YANGA SC?

NA Baraka Mbolembole, Dar es Salaam Ligi kuu ya Tanzania Bara itasimama kwa muda hadi mwezi Disemba kupisha maandalizi ya timu ya Taifa ya Tanzania,...

HANS AONYA WAANDISHI WANAOMCHONGANISHA YANGA

Kocha mkuu wa Yanga amelalamika juu ya waandishi ambao wamekuwa wakiandika vitu ambavyo yeye hajazungumza kwasababu vinamletea matatizo na waajiri wake. Hans amesema hivyo baada...

TANZANIA PRISONS INAVYOFUFUKA CHINI YA SALUM MAYANGA

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam Mohamed Mkopi amesajiliwa kutoka Mtibwa Sugar na kuingia moja kwa moja katika kikosi cha kwanza cha Tanzania Prisons ya...

YANGA YAKWAMA TANGA

Mabingwa watetezi wa taji la ligi kuu ya Vodacom Tanzani bara Yanga SC leo wamekumbana na kizingiti mkoani Tanga mbele ya Mgambo JKT baada...

TFF kwanini inabariki sajili kama hizi.? Simba SC wapewe adhabu kwa usajili wa Majwega,...

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam KUNA mambo yanafanyika Tanzania tu, na yanakubalika haraka. Kuanzia kwa viongozi wa juu, wachezaji hadi kwa mashabiki hufurahia baadhi...

KOCHA TOTO AFRICANS: TUNATAKIWA KUFUNGA MAGOLI ZAIDI ILI TUWE SALAMA

Na Baraka Mbolembole Ikiwa wamebakiwa na michezo kumi ya ligi kuu Tanzania Bara (VPL) msimu huu timu ya Toto Africans ya Mwanza imekata tamaa ya...

STORY KUBWA