Tuesday, September 18, 2018

VPL

Home VPL

TSHABALALA ANYAKUA TUZO SIMBA

Katika kuongeza morali na kuwazawadia wachezaji wanaofanya vizuri, klabu ya Simba ilianzisha tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi kuanzia mwezi wa Septemba 2015. Mshindi wa...

AZAM FC WATAFANYA TENA WALICHOWAHI KUFANYA?

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam, Kufanikiwa kwenye msimu maalum mara zote ni kitu cha kustaajabisha na kufurahisha, kufanikiwa kwenye misimu misimu miwili ni kitu...

PICHA 10 ZA CLUB YA MBEYA CITY WAKIKABIDHIWA BUS NA BINSLUM CHINI YA RB...

Kampuni ya BinSlum ndio mdhamini wa club ya Mbeya City kwa kutumia bidhaa yake ya RB Battery. Leo hii ikiwa kama mdhamini wa Mbeya...

BURUDANI YA MBEYA CITY FC ITATOWEKA MAZIMA?

Na Baraka Mblemble, Dar es Salaam, Burudani kubwa katika ligi kuu Tanzania bara misimu miwili iliyopita ilikuwa kutoka Mbeya City FC. Sio tu uwanja wa...

KUNA YE YOTE ANAYEWEZA KUIZUA YANGA SC?

NA Baraka Mbolembole, Dar es Salaam Ligi kuu ya Tanzania Bara itasimama kwa muda hadi mwezi Disemba kupisha maandalizi ya timu ya Taifa ya Tanzania,...

KAMARI ZA USAJILI ZIMELIPA VPL?

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam Bila shaka uhamisho mkubwa wa majira ya kiangazi, Tanzania bara ni uhamisho wa Vicent Bossou mlinzi wa kati raia...

TANZANIA PRISONS INAVYOFUFUKA CHINI YA SALUM MAYANGA

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam Mohamed Mkopi amesajiliwa kutoka Mtibwa Sugar na kuingia moja kwa moja katika kikosi cha kwanza cha Tanzania Prisons ya...

HIZI NI PICHA ZA BIRTHDAY TSHABALALA MCHEZAJI WA SIMBA

Jana ilikua ni siku ya kuzaliwa kwa Tshabalala mchezaji wa Simba S.C. Hizi hapa ni picha kutoka kwenye birthday party yake ...

KIIZA: SITAKI KUWA MFUNGAJI BORA

Mshambuliaji wa Simba Hamisi Kiiza 'Dieogo' amesema hataki kuwa mfungaji bora wa VPL na badala yake lengo lake ni kuisaidia timu yake ipate ushindi...

MBUNA AITETEA MAJIMAJI KUTOKANA NA KIPIGO CHA SIMBA

Mchezaji mkongwe Fred Mbuna ambaye amewahi kuitumikia klabu ya Yanga lakini kwa sasa akikipiga kwenye timu ya Majimaji FC ‘wanalizombe’ kutoka mjini Songea, Ruvuma...

STORY KUBWA