Thursday, September 20, 2018

VPL

Home VPL

YANGA YAANZA KUPIGA CHINI WACHEZAJI WAKE, TAYARI MMOJA ATOSWA KIPINDI HIKI CHA DIRISHA DOGO…JE,...

Mlinda mlango wa mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara klabu ya Yanga amejikuta hayupo kwenye hesabu za benchi la ufundi kwa...

MBEYA CITY FC YANASA WAWILI, WENGINE WATATU KUFUATA

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam KLABU ya kizazi kipya, Mbeya City FC imefanikiwa kuwasaini wachezaji wawili hadi sasa kati ya watano ambao wamepanga kuwaongeza...

DAUDA TV: USIKUBALI KUPITWA NA HII EXCLUSIVE INTERVIEW YA GAUDANCE MWAIKIMBA

Gaudence Mwaikimba ni mwanasoka wa Tanzania kwasasa anacheza kwenye timu ya JKT Ruvu inayoshiriki ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara, Mwaikimba ni miongoni mwa...

SAID BAHANUNZI: TUNAWEZA KUIFUNGA MBEYA CITY, SIFUNGI ILI KUSHINDA UFUNGAJI BORA

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam Mshambulizi wa Mtibwa Sugar FC, Said Bahanunzi anaamini kuwa klabu yake itaishinda Mbeya City FC katika mchezo wa ligi...

AZAM FC KUCHEZA NA MGAMBO, AFRICAN SPORTS KABLA YA KUWAVAA SIMBA SC

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam Mabingwa wa Afrika Mashariki na Kati, Azam FC Jumatano hii wanataraji kusafiri hadi Mkoani Tanga kwa ajili ya maandalizi...

KLABU YA VPL YAMPIGA CHINI MCHEZAJI WAKE KWASABABU ZA U-BALOTELLI

Katika vitu ambavyo hutakiwi kuvifanyia masihara ukiwa mchezaji wa vilabu vinavyomilikwa na jeshi ni suala la nidhamu, hawa jamaa hawana utani wala uvumilivu kwa...

UFUNDI WOTE WA NIYONZIMA ETI RWANDA ANAANZIA BENCHI, MWENYEWE AWEKA WAZI KINACHOMKALISHA MKEKANI

Kiungo wa Yanga na timu ya taifa ya Rwanda Haruna Niyonzima amekuwa akianzia benchi kwenye baadhi ya mechi za michuano ya Challenge kitu ambacho...

ILE MOVIE KATI YA SIMBA NA AZAM IMEMALIZIKA NA MSHINDI KAPATIKANA

Ile movie iliyokuwa ikichezwa kati ya klabu ya Simba na Azam FC zinazoshiriki ligi kuu Tanzania bara imeshamalizika huku klabu ya Simba ikifanikiwa kumtwaa...

RASMI: IVO MAPUNDA ASAINI MKATABA NA AZAM FC

Kikosi cha timu ya Azam FC kimempa mkataba wa muda mfupi golikipa wa zamani wa vilabu vyaTanzania Prisons, Yanga na  Simba vya Tanzania Ivo...

SIMBA YAINGIA MAFICHONI KUITAFUTIA DAWA AZAM

Katika muendelezo wa matayarisho ya kujiandaa na kuendelea kwa ligi baada ya kusimama kwa muda mfupi kupisha mechi mbalimbali za timu ya Taifa katika...

STORY KUBWA