Sunday, June 24, 2018

VPL

Home VPL

MAYANJA AWAMWAGIA PONGEZI WAAMUZI LICHA YA KIPIGO

Kocha mkuu wa timu ya Coastal Union Jackson Mayanja ameibuka na kuwamwagia sifa waamuzi waliochezesha mchezo kati ya Simba dhidi ya Coastal Union akisema...

MGOSI: KAZI YANGU NI KUHAKIKISHA SIMBA INAPATA USHINDI

Mshambuliaji mkongwe na nahodha wa Simba Mussa Hassan Mgosi aliingia kipindi cha pili akitoka kwenye benchi kuchukua nafasi ya Hamisi Kiiza wakati Simba ikicheza...

MATOKEO YA MECHI ZOTE ZA VPL ZILIZOCHEZWA JUMATANO

Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara imeendelea kwenye viwanja kadhaa na kushuhudia timu zikipata matokeo tofauti wakati zilipokuwa zikiwania pointi tatu ili kujiweka kwenye...

KIIZA AREJEA KUTOKA MAJERUHI NA KUTUPIA NYAVUNI, SIMBA IKIPATA POINTI 3

Hamisi Kiiza ameifungia Simba goli pekee kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara dhidi ya Coastal Union mechi iliyochezwa kwenye uwanja wa...

MGOSI AWATIA MOYO WAPENZI WA SIMBA

Mchezaji mkongwe na nahodha wa klabu ya Simba SC Musa Hassan Mgosi amewataka wapenzi wa Simba kutokata tamaa kutokana na matokeo ya kufungwa mechi...

KOCHA WA ZAMANI WA TANZANIA PRISONS KUFANYIWA UPASUAJI WA KICHWA

Kocha wa zamani wa timu ya Tanzania Prisons ya Mbeya David Mwamaja, amelazwa kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam akipatiwa...

HANS POPPE AFUNGUKA KUHUSU ‘HIRIZI’ YA PAPE N’DAW

Wenyekiti wa kamati ya usajili ya Simba Zacharia Hans Poppe ameamua kufunguka juu ya mchezaji raia wa Senegal, Pape Abdoulaye N’daw ambaye amekuwa na...

WACHEZAJI WA YANGA WAANZA KUKIMBIA MIKWAJU YA PENATI

Kufuatia hali ya kukosa mikwaju ya penalti iliyowakumba wachezaji wa Yanga, baadhi ya wachezaji wa timu hiyo, wametamka kuwa wanaweza wakaja kugomea kupiga mikwaju...

HABARI MPYA KUHUSU HALI YA HAMISI KIIZA, JE ATACHEZA AU HATOCHEZA DHIDI YA COASTAL...

Kikosi cha ‘wekundu wa Msimbazi’ Simba kikiwa katika maandalizi ya kuwavaa ‘wagosi wa kaya’ Coastal Union siku ya Jumatano, hali ya majeruhi Hamisi Kiiza...

STORY KUBWA