Friday, May 25, 2018

VPL

Home VPL

KIIZA: SITAKI KUWA MFUNGAJI BORA

Mshambuliaji wa Simba Hamisi Kiiza 'Dieogo' amesema hataki kuwa mfungaji bora wa VPL na badala yake lengo lake ni kuisaidia timu yake ipate ushindi...

MBUNA AITETEA MAJIMAJI KUTOKANA NA KIPIGO CHA SIMBA

Mchezaji mkongwe Fred Mbuna ambaye amewahi kuitumikia klabu ya Yanga lakini kwa sasa akikipiga kwenye timu ya Majimaji FC ‘wanalizombe’ kutoka mjini Songea, Ruvuma...

HATIMAYE JKT RUVU YAONJA LADHA YA USHINDI VPL

Hatimaye timu ya maafande wa JKT Ruvu leo imepata ushindi wake wa kwanza tangu kuanza kwa ligi kuu ya Vodacom msimu huu, JKT Ruvu...

AZAM YAREJEA KILELENI MWA VPL KWA KISHINDO

Timu ya Azam FC imerejea tena kileleni mwa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara kufuatia ushindi wa goli 5-0 dhidi ya Toto Africans ya...

AJIB: KILA MSIMU NAWEKA HAT-TRICK

Straika wa Simba Ibrahim Ajib amesema anafurahi kufunga hat-trick na kila msimu atakua akifafanya hivyo pindi akipata nafasi. Ajib amesema awali washambuliaji wa Simba...

VIDEO: KAMA HUKUIONA HAT-TRICK YA AJIB IANGALIE HAPA

Ibrahib Ajib jana alipiga magoli matatu (hat-trick) wakati Simba inacheza dhidi ya Majimaji FC ya Songea kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania...

AJIB APIGA HAT-TRICK YA PILI VPL

Mshambuliaji kinda wa Simba Ibrahim Ajib amefanikiwa kufunga hat-trick wakati timu yake ikiibuka na ushindi wa goli 6-1 dhidi ya Majimaji FC ya Songea...

SIMBA YAFANYA BALAA UWANJA WA TAIFA…YAICHAKAZA MAJIMAJI YA SONGEA

Simba imetoa kipigo cha mbwa mwizi leo baada ya kuichapa timu ya Majimaji ya Songea ‘wanalizombe’ kwa goli 6-0 kwenye mchezo wa ligi kuu...

RATIBA YA MECHI ZOTE ZA VPL, EPL NA LA LIGA JUMAMOSI NA JUMAPILI HII

Ligi mbalimbali bado zinaendelea duniani, wapenda soka wanapenda kujua ratiba za gili mbalimbali hasa katika siku za mwisho wa wiki ili wapate kufuatilia baadhi...

DONALD NGOMA ANAWEZA KUVUNJA REKODI YA AMIS TAMBWE VPL?

NA Baraka Mbolermbole, Dar es Salaam Msimu wa 2013/14 mshambulizi raia wa Burundi, Amis Tambwe alifanikiwa kuvunja rekodi ya ufungaji katila ligi kuu Tanzania Bara...

STORY KUBWA