Friday, April 27, 2018

VPL

Home VPL

VIDEO: KAMA HUKUIONA HAT-TRICK YA AJIB IANGALIE HAPA

Ibrahib Ajib jana alipiga magoli matatu (hat-trick) wakati Simba inacheza dhidi ya Majimaji FC ya Songea kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania...

AJIB APIGA HAT-TRICK YA PILI VPL

Mshambuliaji kinda wa Simba Ibrahim Ajib amefanikiwa kufunga hat-trick wakati timu yake ikiibuka na ushindi wa goli 6-1 dhidi ya Majimaji FC ya Songea...

SIMBA YAFANYA BALAA UWANJA WA TAIFA…YAICHAKAZA MAJIMAJI YA SONGEA

Simba imetoa kipigo cha mbwa mwizi leo baada ya kuichapa timu ya Majimaji ya Songea ‘wanalizombe’ kwa goli 6-0 kwenye mchezo wa ligi kuu...

RATIBA YA MECHI ZOTE ZA VPL, EPL NA LA LIGA JUMAMOSI NA JUMAPILI HII

Ligi mbalimbali bado zinaendelea duniani, wapenda soka wanapenda kujua ratiba za gili mbalimbali hasa katika siku za mwisho wa wiki ili wapate kufuatilia baadhi...

DONALD NGOMA ANAWEZA KUVUNJA REKODI YA AMIS TAMBWE VPL?

NA Baraka Mbolermbole, Dar es Salaam Msimu wa 2013/14 mshambulizi raia wa Burundi, Amis Tambwe alifanikiwa kuvunja rekodi ya ufungaji katila ligi kuu Tanzania Bara...

YANGA Vs KAGERA, SIMBA Vs MAJIMAJI, MTIBWA Vs MWADUI…KIVUMBI KINAENDELEA

NA Baraka Mbolembole, Dar es Salaam, Mabingwa watetezi wa ligi kuu Bara, Yanga SC watakuwa na nafasi ya kurejea kileleni mwa msimamo Jumamosi hii kama...

‘HIVI NDIVYO VPL INAVYOKUWA NA USHINDANI UDHAIFU’

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam ‘Dakika 90 ni kama vita ndani ya uwanja, vita ya wachezaji 22 kila mmoja akitaka kuhakikisha timu yake inapata...

PICHA: MKWASA, MOROCCO, WAISHUHUDIA AZAM IKITOA DOZI 

Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Charles Boniface Mkwasa pamoja na msaidizi wake Hemed Morocco jana walikuwepo uwanjani kushuhudia mchezo wa ligi...

KAVUMBAGU: NIPO TAYARI KUONDOKA AZAM KULIKO ‘KUSUGUA’ BENCHI

Mshambuliaji wa kimataifa wa Azam FC kutoka nchini Burundi Didier Kavumbagu, amesema kuwa yupo tayari kuondoka kwenye klabu hiyo kama ataendelea kusugua benchi kwenye...

AZAM YAKWEA KILELENI RASMI, KAVUMBAGU ADHIHIRISHA UBORA WAKE

Mabingwa wa kombe la Kagame Azam FC wamefanikiwa kukaa kileleni mwa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara baada ya kuibuka na ushindi wa goli...

STORY KUBWA