Thursday, June 21, 2018

VPL

Home VPL

HAWA NDIYO ‘MASWAHIBA’ WA VPL WANAOCHEZA TIMU TOFAUTI

Ukiachana na upinzani mkali wa vilabu vya Azam, Simba na Yanga kwenye soka la Bongo, wachezaji wa vilabu hivyo ni washkaji sana wanapokuwa nje...

VAN PLUIJM KAMVUA NIYONZIMA UNAHODHA YANGA?

Jumapili ya January 24 klabu ya Dar Es Salaam Young African ilishuka dimbani kucheza mchezo wake wa Kombe la FA dhidi ya Friends Rangers, lakini huu ulikuwa ni mchezo...

YANGA KUTIMKIA ‘BONDENI’

YANGA imevunja ratiba yao ya kucheza na Coasta Union katika mchezo wa Ligi baada ya kutangaza kikosi chao kwenda Afrika Kusini katika mashindano mafupi. Mkuu...

PICHA 5 ZA GARI ANAYO-PUSH IBRAHIM AJIB WA SIMBA SC

Leo katika pitapita za hapa na pale camera ya shaffihdauda.co.tz 'Timu ya Ushindi' imefanikiwa kudaka picha za Star wa Simba SC na timu ya...

WARAKA WA KERR WAIBUA MAZITO YALIYOFICHIKA SIMBA

Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu tangu alipotimuliwa, aliyekuwa kocha mkuu wa Simba Dylan Kerr ameandika barua kwa mashabiki akiwaeleza mambo kadhaa ambayo...

DR. TIBOROHA AMETAJA VITU AMBAVYO ‘KAMWE’ HATOVISAHAU NDANI YA YANGA

Baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Yanga Dr. Jonas Tiboroha kujiuzulu wadhifa wake, amesema kuna vitu ambavyo siku zote atavikumbuka na kujivunia wakati wa...

TANZIA: KOCHA WA VPL AFIWA NA MKEWE

Kocha mkuu wa Mbeya City FC Meja mstaafu Abdul Mingange amefiwa na mkewe Bi. Fatuma Juma mapema leo, mazishi yamepangwa kufanyika kesho jioni Mfumbwe, Matombo,...

DR. TIBOROHA AZUA ‘TIMBWILI’ YANGA

Wanachama wa klabu ya Yanga wameibuka makao makuu ya klabu yao kupinga kujiuzulu kwa aliyekuwa katibu mkuu wa klabu hiyo Dr. Jonas Tiboroha ambaye...

KAMUSOKO AKIWA NA FAMILIA YAKE ANAUJUMBE HUU KWAKO WEEKEND HII

Kikungo wa Yanga mzimbabwe Thabani Kamusoko ni miongoni mwa wachezaji wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara ambao wako active sana kwenye mitandao ya...

YANGA MNAMENYEA NDIZI VYUMBANI?

NI nadra sana kushuhudia kipaji kama cha Haruna Niyonzima kwa wachezaji wengi butu wa kigeni wanaosajiliwa Tanzania. Lakini si nadra kuona vipaji hivi vikigeuka...

STORY KUBWA