Monday, May 28, 2018

VPL

Home VPL

YANGA YATULIZWA NA ‘WAJELAJELA’ MBEYA

Baada ya ya Yanga kuchezea kibano weekend iliyopita, leo wameambulia sare mbele ya Tanzania Prisons ‘Wajelajela’ wa mkoani Mbeya kwa kufungana magoli 2-2 kwenye...

Hizi ni dakika 7 za tour ndani ya duka la Simba

Juzi nilikupa habari kwamba club ya Simba imefungua duka lake la kisasa kwa ajili ya kuuza bidhaa zao ambazo zitaifaidhisha club hiyo moja kwa...

MWINYI KAZIMOTO AMEKUANDIKIA UJUMBE HUU KUPITIA FACEBOOK

Kiungo wa Simba Mwinyi Kazimoto leo ameamua kuandika ujumbe kwa mashabiki wa wake na Simba kwa ujumla kupitia account yake ya facebook kuelekea mchezo...

YANGA KIKAANGONI TENA, NI MECHI YA KUFA AU KUPONA KUTETEA UBINGWA

Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara inaendelea leo tena, michezo miwili inayoteka hisia za mashabiki na wapenzi wengi wa soka ni ni ile inayozihusisha...

MCHEZAJI VPL AFUNGA PINGU ZA MAISHA NA KUACHANA NA ‘UBACHELOR’

Wahenga wanasema binadamu anasherehe kuu tatu katika maisha yake, ya kwanza ni kuzaliwa, halafu kufunga ndoa na ya mwisho ni kifo japo wengi siku...

MR. CHAIRMAN HOTUBA YAKO HAINA ‘FAIR PLAY’

Wakati shirikisho la mpira wa miguu  duniani FIFA lina hamasisha wadau wa mchezo wa soka kuhusu vitendo vya kiungwana mchezoni yaani ‘Fair Play’, wiki...

SIMBA, YANGA, DIMBANI KESHO VPL

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara mzunguko wa 17 unatarajiwa kuendelea kesho Jumatano kwa michezo sita kuchezwa katika viwanja mbalimbali, huku kila timu ikisaka...

SIMBA KAMA ULAYA

Klabu ya Simba SC leo imeamua kufanya kweli baada ya kuzungumza mambo mengi ambayo mwisho wa siku yalikuwa yamebaki kwenye makaratasi. Simba leo wamezundua...

MAYANJA AZUNGUMZIA GRAFU YA USHINDI WA SIMBA

Baada ya grafu ya ushindi ya kocha wa Simba Jackson Manyanja kuonekana kupanda vizuri, kumezuka maswali ambayo yanahoji nini siri ya kocha huyo ambaye...

PICHA: JB AIBUKA TAIFA KUISHUHUDIA SIMBA IKITOA KICHAPO

Imekuwa kawaida siku hizi kwa mastar wa bongo kuibuka uwanjani na kujichanganya na mashabiki wa soka kushuhudia game zinapopigwa kwenye viwanja mbalimbali. Jana camera ya...

STORY KUBWA