Tuesday, March 20, 2018

VPL

Home VPL

TOP 5 YA MATUKIO YALIYOJIRI WAKATI WA MECHI YA YANGA VS MBEYA CITY

Kuna matukio mengi sana yalitokea jana wakati wa mchezo kati ya Yanga dhidi ya Mbeya City, inawezekana ukawa hujui baadhi ya mambo yaliyojiri kwenye...

MINGANGE: BOBAN NI MTU POA SANA, WATU HAWAJUI TU KUISHI NAYE

Kocha mkuu wa Mbeya City Meja mstaafu Abdul Mingange amesema kuwa anavutiwa na kiwango kinachooneshwa na wachezaji wake Ramadhani Chombo 'Redondo' pamoja na Haruna...

DAUDA TV: AMIS TAMBWE ANAENDELEA KUWATESA MAGOLIKIPA WA VPL

Tambwe amekuwa habari ya mjini kwa sasa na hii ni baada ya kutupia goli tano kwenye mechi mbili za ligi kuu Tanzania bara. Tambwe alifunga...

SIMBA BADO HALI SIYO NZURI, MATOKEO YOTE YA VPL YAKO HIVI LEO

Michuano ya ligi kuu Tanzania bara iliendelea tena leo December 26, 2015 kwa michezo kadhaa kupigwa kwenye viwanja vya miji tofauti ya Tanzania bara...

YANGA YAZIDI KUPAA, TAMBWE HAKAMATIKI

Hamisi Tambwe ameendeleza kasi yake ya ufungaji mara baada ya leo kutupia bao mbili nyavuni wakati Yanga ikichomoza na ushindi wa bao 3-0 dhidi...

EXCLUSIVE INTERVIEW: YAFAHAMU MAISHA YA KAMUSOKO NJE NA NDANI YA UWANJA, AMEKUWA NA MADEMU...

Jina la Thaban Kamusoko kwa sasa ni jina kubwa kwenye soka la Tanzania, huyu ni kiungo mchezeshaji wa timu ya Yanga SC ya jijini...

MSEMAJI WA AFRICAN SPORTS AJIUZULU AKIDAI TIMU IMEJAA ‘VIHIYO’

Baada ya kujiuzulu mwenyekiti wa klabu ya African Sports ya Tanga, mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu hiyo Muhasham Hatibu ameibuka...

NIYONZIMA ATOA NENO KWA YANGA PAMOJA NA MASHABIKI

Haruna Niyonzima amewataka mashabiki wake kuwa wavumilivu kwani suala lake linatarajiwa kupatiwa ufumbuzi hivi karibuni baada ya kuwasilisha maelezo kwa uongozi wa timu yake. Niyonzima...

DR. TIBOROHA NA STORY MPYA KUHUSU HARUNA NIYONZIMA

Kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima amekuwa kwenye vichwa vya habari vya vyombo vya habari nchini kwa siku kadhaa sasa baada ya uongozi wa klabu...

PICHA 10 SIMBA WANAVYOIANDALIA DOZI MWADUI YA JULIO

Wekundu wa Msimbazi Simba wameendelea kujifua kwenye uwanja wa chuo cha DIT jijini Mwanza kuelekea kwenye mchezo wake wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania...

STORY KUBWA