Thursday, February 22, 2018

VPL

Home VPL

HUYU NI MKE WA PAUL NONGA NA HIKI NDICHO ALICHOPOST INSTAGRAM

Mke wa mshambuliaji mpya wa Yanga Paul Nonga ‘amejifungua’ mtoto tarehe 26 December 2015 ambayo ilikuwa ni siku ya Boxing Day, lakini mrembo huyo...

AZAM YAJIBU MASWALI YA KUTAKA KUMSAJILI NIYONZIMA

Klabu ya Azam FC kupitia kwa katibu mkuu wake Idrisa Nassoro umeweka msimamo wake baada ya habari kuanza kuvuma huenda Haruna Niyonzima akijunga na...

EXCLUSIVE INTERVIEW: HAYA NDIYO MAJIBU YA NIYONZIMA BAADA YA YANGA KUTANGAZA KUMPIGA CHINI

Baada ya kumsimamisha kwa muda usiojulikana, hatimaye uongozi wa Yanga umetangza rasmi kuvunja mkataba na kiungo wake wa kimataifa kutoka Rwanda Haruna Niyonzima. December 28,...

BREAKING NEWS: YANGA YATANGAZA KUVUNJA MKATABA NA HARUNA NIYONZIMA

Klau ya Yanga imetangaza kuvunja mkataba na kiungo wake wa kimataifa kutoka nchini Rwanda Haruna Niyonzima kutokana na utovu wa nidhamu ikiwemo kuchelewa kuripoti...

AZAM YAIPUMULIA YANGA KILELENI

Magoli kutoka kwa Kipre Tchetche na Shomari Kapombe yameipa Azam ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa ligi kuu ya...

TOP 5 YA MATUKIO YALIYOJIRI WAKATI WA MECHI YA YANGA VS MBEYA CITY

Kuna matukio mengi sana yalitokea jana wakati wa mchezo kati ya Yanga dhidi ya Mbeya City, inawezekana ukawa hujui baadhi ya mambo yaliyojiri kwenye...

MINGANGE: BOBAN NI MTU POA SANA, WATU HAWAJUI TU KUISHI NAYE

Kocha mkuu wa Mbeya City Meja mstaafu Abdul Mingange amesema kuwa anavutiwa na kiwango kinachooneshwa na wachezaji wake Ramadhani Chombo 'Redondo' pamoja na Haruna...

DAUDA TV: AMIS TAMBWE ANAENDELEA KUWATESA MAGOLIKIPA WA VPL

Tambwe amekuwa habari ya mjini kwa sasa na hii ni baada ya kutupia goli tano kwenye mechi mbili za ligi kuu Tanzania bara. Tambwe alifunga...

SIMBA BADO HALI SIYO NZURI, MATOKEO YOTE YA VPL YAKO HIVI LEO

Michuano ya ligi kuu Tanzania bara iliendelea tena leo December 26, 2015 kwa michezo kadhaa kupigwa kwenye viwanja vya miji tofauti ya Tanzania bara...

YANGA YAZIDI KUPAA, TAMBWE HAKAMATIKI

Hamisi Tambwe ameendeleza kasi yake ya ufungaji mara baada ya leo kutupia bao mbili nyavuni wakati Yanga ikichomoza na ushindi wa bao 3-0 dhidi...

STORY KUBWA