Monday, February 19, 2018

VPL

Home VPL

SIMBA KAMA ULAYA

Klabu ya Simba SC leo imeamua kufanya kweli baada ya kuzungumza mambo mengi ambayo mwisho wa siku yalikuwa yamebaki kwenye makaratasi. Simba leo wamezundua...

MAYANJA AZUNGUMZIA GRAFU YA USHINDI WA SIMBA

Baada ya grafu ya ushindi ya kocha wa Simba Jackson Manyanja kuonekana kupanda vizuri, kumezuka maswali ambayo yanahoji nini siri ya kocha huyo ambaye...

PICHA: JB AIBUKA TAIFA KUISHUHUDIA SIMBA IKITOA KICHAPO

Imekuwa kawaida siku hizi kwa mastar wa bongo kuibuka uwanjani na kujichanganya na mashabiki wa soka kushuhudia game zinapopigwa kwenye viwanja mbalimbali. Jana camera ya...

HII HAPA SIRI ILIYOFICHIKA NYUMA YA GOLI ALILOFUNGA HASSAN KESSY DHIDI YA AFRICAN SPORTS

Beki wa kulia wa Simba SC Hassan Kessy alifunga goli moja wakati Simba ikipata ushindi wa magoli 4-0 dhidi ya African Sports kwenye mchezo...

COASTAL UNION YAVUNJA MWIKO WA YANGA

Klabu ya Yanga leo imeonja joto ya jiwe kwenye ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara msimu huu baada ya kujikuta ikitepeta mbele ya Coastal...

SIMBA MWENDO MDUNDO, MATUMAINI YA UBINGWA KAMA KAWA

Klabu ya Simba imeendelea kuzikimbiza Yanga na Azam katika mbio za kuwania ubingwa wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara msimu huu baada ya...

CHEKI ALICHOANDIKA KAMUSOKO KWENYE MTANDAO WA FACEBOOK

Mchazaji wa Yanga Thabani Kamusoko ameendelea kushine kwenye mitandao ya kijamii hasa ule wa facebook kwa kutupia picha na kutoa ujumbe mara kadhaa kwa...

BAADA YA MALINZI KUOMBA MSAMAHA, YANGA YAJA NA JINGINE

Baada ya Rais wa TFF Jamal Malinzi jana kuviomba radhi vilabu vya ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara kutokana na Azam kuruhusiwa kwenda kucheza...

TFF, MALINZI NA AZAM, WATANZANIA WANAYO MIGUU YA KUYAFUATA MAJI.

Shule ni ngumu sana,  na wanaoifanya kuwa ngumu zaidi ni wale walioamua kutufanya tukubaliane na Hali kuwa elimu haina mwisho. Hilo ndo haswaa jambo...

MALINZI AKIRI TFF KUJIKOROGA

Rais wa TFF Bw. Jamal Malinzi ameviomba radhi vilabu vya ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara kutokana na timu ya Azam kupewa ruhusa na...

STORY KUBWA