VPL

Home VPL

YONDANI AIWEKA YANGA KILELENI VPL

Kikosi cha Yanga SC kimerejea kileleni mwa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara baada ya ushindi finyu wa leo Jumapili January 17, 2016 dhidi...

HANS POPPE AFUNGUKA KUHUSU ‘HIRIZI’ YA PAPE N’DAW

Wenyekiti wa kamati ya usajili ya Simba Zacharia Hans Poppe ameamua kufunguka juu ya mchezaji raia wa Senegal, Pape Abdoulaye N’daw ambaye amekuwa na...

SESEME AIKANA MBEYA CITY, KUSAINI…

Na Baraka Mbolembole KIUNGO mshambulizi wa zamani wa Simba SC, Abdallah Seseme amekanusha kutakiwa na Mbeya City FC ya Mbeya na badala yake anataraji kusaini...

Neno la Kichuya kwa mashabiki wa Simba

Kichuya amefunga goli lake la kwanza kwenye mchezo wa watani wa jadi tangu asajiliwe Simba kwenye dirisha la usajili lililopita, huu ni msimu wake...

MAGULI NJIANI KUIKACHA STAND, KUJIUNGA NA WAKALI WENGINE VPL

Mshambuliaji wa Stand United Elias Maguli ambaye amekuwa hana mwendelezo mzuri kwenye klabu yake tangu alipohitilafiana na kocha wa timu hiyo, huenda akajiunga na...

Yanga watachomoka kwenye mtego wa Azam?

Na Zainabu Rajabu KIKOSI cha Azam wikiendi hii wataikaribisha Yanga kwenye mchezo wa ligi kuu ambao utapigwa Aprili Mosi kwenye Uwanja wa Taifa, Dar ambapo...

Azam wameihuzunisha tena Simba baada ya siku 15

Azam FC wamerudia kile walichokifanya Zanzibar kwenye fainali ya Mapinduzi Cup kwa kuitungua tena Simba kwa bao 1-0 kwenye mechi ya ligi kuu Tanzania...

Msimamo wa Julio kuhusu kustaafu kufundisha soka la Bongo

Licha ya uongozi wa Mwadui FC kumkatalia kocha wao Jamhuri Kihwelu Julio kujiuzulu kuifundisha timu hiyo, Julio bado ameendelea kushikilia msimamo wake kwamba hatoendelea...

Uchambuzi na dondoo uelekea Oktoba 1 Yanga vs Simba

"Si siku ya kukosa kabisa nchi itakuwa kwenye matukio mawili ya kihistoria lile la upandaji miti kisha tunaelekea pale taifa kwenye "Dar Derby" ni...

Simba watakaa tu, hakuna namna – Kocha Stand United

Kocha wa Stand United Athuman Bilal ambaye ameachiwa timu na mfaransa Patrick Liewig, ameshakiongoza kikosi hicho katika mechi 5 akishinda mechi moja, sare tatu...

STORY KUBWA