VPL

Home VPL

Achana na mbio za Simba na Yanga katika taji, ‘vita ya kuvutia’ inazihusu timu...

Na Baraka Mbolembole JKT Ruvu ilifanikiwa kupata ushindi wa kwanza katika ligi kuu Tanzania Bara tangu  Oktoba 29, 2016 walipoifunga Ndanda FC 1-0. Ushindi wao wa tatu  katika...

Simba hakuna kulala Zanzibar

Na Abubakar Khatib ‘Kisandu’, Zanzibar Timu ya Simba leo asubuhi imeendelea kufanya mazoezi katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar kwa kujiandaa na mchezo wa ligi kuu...

Yanga imelipa kisasi kwa Stand United kwa kuichapa 4-0

Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania bara Yanga wameendelea kujikita kileleni mwa ligi kuu kufatia ushindi wa nguvu wa magoli 4-0 walioupata dhidi ya...

Mtibwa imeshindwa kuchomoka kwa African Lyon

Ligi kuu ya soka Tanzania bara imeendelea leo February 12, 2017 kwa michezo mitatu iliyochezwa katika miji tofauti, Dar es Salaam African Lyon imelazimisha...

Simba inapeta, Mavugo, Ajibu mambo safi

 Simba imerudi kwenye nafasi ya kwanza kwenye msimamo wa ligi kuu Tanzania bara baada ya ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya Tanzania Prisons na...

‘Tunataka kurudi kwenye nafasi yetu’ – Mayanja

ĶOCHA msadizi wa Simba Jackson Mayanja ametamba kuibuka na ushindi mnono kutokana na kukiamini kikosi chake vizuri licha ya kufungwa na Azam katika mchezo...

Hatimaye JKT Ruvu imeonja ushindi wa kwanza tangu kuanza kwa mwaka 2017!!

Timu ya maafande wa JKT Ruvu hatimaye imepata ushindi wake wa kwanza tangu kuanza kwa mwaka 2017 baada ya kuifunga Mbao FC bao 2-0...

Msuva anataka kurudisha kiatu nyumbani?

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Simon Msuva ameendelea kufunga kwenye mechi za ligi kuu Tanzania bara na sasa amefikisha magoli 10 na ndiyo kinara kwa...

AUDIO: ‘Mwamuzi angewaacha kidogo tu, tungepata ushindi’ – Stamili Mbonde

Mshambuliaji wa Mtibwa Sugar Stamili Mbonde amesema mechi yao dhidi ya African Lyon ilikuwa rahisi kwao lakini mwamuzi wa mchezo huo Mathew Akrama wa...

Kijuso ameomba huruma ya waamuzi

Kocha msaidizi wa Mbeya City Mohamed Kijuso ameomba waamuzi wa ligi kuu Tanzania bara kuchezesha soka kwa usawa huku wakifata sheria zote za mchezo...

STORY KUBWA