Tuesday, November 21, 2017

VPL

Home VPL

Muda ambao Nduda anatarajia kuanza mazoezi

Taarifa kwamba kocha mkuu wa Simba Joseph Omog ameutaka uongozi wa Simba usajili golikipa katika kipindi hiki cha dirisha dogo zimesambaa kila kona kwenye...

Razak anaongoza mechi nyingi bila kuruhusu goli

Golikipa wa Azam Razak Abarola amefikisha mechi nane bila kuruhusu kufungwa goli katika mechi 10 za ligi kuu alizoidakia timu yake hadi sasa akiwa...

Rekodi za Manyika Jr zamkalisha Aishi Manula

Peter Manyika Jr ambaye ni golikipa wa Singida United amemkalisha  golikipa wa Simba Aishi Manula kwa kucheza mechi nyingi bila kuruhusu goli (clean sheets)....

Kuelekea Dar derby, vitu ambavyo Simba na Yanga zinafanana baada ya mechi 7 VPL

Mjadala mkubwa kwa upande wa soka nchini ni kuhusu October 28, 2017 siku ambayo meci ya watani wa jadi itapigwa watoto wa mjini wanaiita...

Tumepata pointi, sijafurahia tulivyocheza”-Pluijm

Kocha mkuu wa Singida United Hans van Pluijm amesema licha ya timuyake kupata pointi moja kwenye uwanja wa ugenini, hakufurahishwa na kiwango cha timu...

Kwa mara ya kwanza Yanga imefunga magoli mawili VPL 2017/2017

Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania bara Yanga kwa mara ya kwanza leo wamepata ushindi wa zaidi ya goli moja baada ya kuifunga 2-1...

‘Najituma kwenye soka nipate pesa za kumtunza mdogo wangu’ – Kabunda

Na Zainabu Rajabu MOJA ya sababu inayomfanya kiungo wa Mwadui FC ya Shinyanga Hassan Kabunda kucheza soka kwa kujituma ni kutafuta pesa kwa ajili ya...

Mtazamo wa Shaffih Dauda kuelekea Simba vs Yanga

Zikiwa zimesalia siku 4 kufikia pambano la watani wa jadi Simba vs Yanga, tayari joto la mechi hiyo limeshapanda huku gumzo la mjini likiwa...

NAMBA 13 YA KAMUSOKO NI KAMA ILE YA MICHAEL BALLACK?

Na Baraka Mbolembole Mataji 15 tofauti ambayo kiungo wa zamani wa Ujerumani na klabu za Kaiserslauten, Bayer 04 Leverkusen, FC Bayarn Munich na Chelsea, Michael...

AVEVA KATOKA HADHARANI KUANIKA SABABU 4 ZILIZOINYIMA SIMBA VPL

Rais wa klabu ya Simba Evans Aveva leo May 18 amejitokeza mbele ya  waandishi wa habari na kutoa sababu kadhaa ambazo kwa namna moja...

STORY KUBWA