Saturday, March 17, 2018

VPL

Home VPL

Kijiko cha Wambura kwenye sahani ya TFF

Na Priva ABIUD Watanzania ni watu poa sana. Hata mkiwa mnaiba kila mtu akichukua chake bila kumsumbua mwenzke hamna tatizo. ndivyo tulivyo. tumeumbwa hivyo. kigezo...

Wambura hatunae tena kisoka…. afungiwa Maisha

Sekretariati ya Shirikisho la soka Tanzania TFF ilimfikisha Makamu wa Rais wa TFF Michael Wambura kwenye kamati ya maadili akikabiliwa na tuhuma tatu ikiwemo...

Tshishimbi alivyomtupa Okwi tuzo ya mchezaji bora

Kiungo wa Yanga Papy Kabamba Tshishimbi ametangazwa mchezaji bora wa mwezi Februari wa ligi kuu Tanzania bara. Tshishimbi amewabwaga Pius Buswita (Yanga) na Emanuel Okwi...

Yanga timu pekee iliyoshinda mechi nyingi mfululizo VPL hadi sasa

Kwa mujibu wa takwimu za michezo ya ligi kuu Tanzania bara (VPL) Yanga ndiyo timu pekee ambayo imeshinda mechi nyingi mfululizo kati ya timu...

“Stand walistahili kubadili matokeo”-kocha Yanga

Kocha wa msaidizi wa Yanga Shadrack Nsajigwa amekiri kwamba kwa namna Stand United walivyokuwa wanaishambulia safu yake ya ulinzi kipindi cha pili, walistahili kubadilisha...

Yanga ilibebwa, Stand United yalalamikia waamuzi

Kocha msaidizi wa Stand United Athumani Bilali 'Billo' amewashushia lawama waamuzi waliochezesha mchezo wa ligi kuu kati ya Yanga dhidi ya Stand United kutokana...

Video – Magoli yote Yanga vs Stand United Machi 12, 2018

Leo Machi 12, 2018 ligi kuu Tanzania bara imeendelea kwa mchezo mmoja ambapo Yanga wakiwa kwenye uwanja wa nyumbani wamepata ushindi wa magoli 3-1...

Yanga wame-balance mzani

Ushindi wa Yanga 3-1 dhidi ya Stand United umeipa Yanga pointi tatu ambazo zinaifanya ifikishe pointi 46 na kuifikia Simba licha kwamba wekundu wa...

Pointi 23 kati ya 30 ugenini, pointi 21 mfululizo, Lwandamina ni tishio

Na Baraka Mbolembole USHINDI wa michezo saba mfululizo ambao mabingwa mara tatu mfululizo na watetezi wa taji la ligi kuu Tanzania Bara-Yanga SC wameupata kwa...

Singida United pumzi inakata?

Sare ya Singida United 0-0 Ndanda FC Machi 11, 2018 kwenye uwanja wa Namfua mkoani Singida imeishusha timu hiyo kutoka nafasi ya 4 kwenye...

STORY KUBWA