Utabiri wa Mikeka

Home Utabiri wa Mikeka

Jamaa kashinda milioni 760 kwa mkeka mmoja

Jamaa mmoja nchini Kenya sikukuu ya Christmas imemjia vizuri baada ya kushinda na mkeka wake kwenye kampuni ya Sport Pesa. Jamaa mwenyewe jina lake ni...

Mkosi wa Stoke City: Man UTD na City Zisahau Ubingwa, Arsena au Leceister Kutwaa...

Vilabu vya ARSENAL, Leicester au Tottenham - moja ya kati ya vilabu hivi inaweza kuwa bingwa wa ligi kuu ya England kama historia itakuwa...

KABLA HAUJA BET MKEKA WAKO WA MANCHESTER VS CHELSEA…SOMA HII KWANZA.

Najua watu wengi mnataka kuweka mizigo au tayari mshaweka mizigo kwenye mechi kati ya Manchester Vs Chelsea. Mwisho wa game lazima watu wacheke wengine...

SHAFFIH DAUDA NA UTABIRI WA GAME ZA EPL WEEKEND HII

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=lf1_bvS9wBo?list=UUJ_vooDIBsLkLcbosm8nv6A] LIGI kuu nchini England inaendelea leo jumamosi, huku mechi ilivovuta macho na masikio ya mashabiki wengi wa soka duniani kote ni baina ya...

WAZEE WA MIKEKA: UTABIRI WA KAIJAGE v SUSO LIGI KUU ENGLAND

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=fPeuFcHCCgE?list=UUJ_vooDIBsLkLcbosm8nv6A] KAIJAGE VS SUSO PREMIER LEAGUE PREDICTION Arsenal V s Manchester city Kwa mara nyingine arsenal inakumbana na kigogo wa ligi katika mechi ya...

MATOKEO YA UTABIRI WA LIGI KUU ENGLAND WIKIENDI ILIYOPITA: SHAFFIH DAUDA v ALLEN KAIJAGE...

MWISHONI mwa wiki iliyopita, ligi kuu soka nchini England ilianza kushika kasi kwa msimu wa 2014/2015. Mabingwa  wa msimu uliopita, Manchester City, washindi wa pili...

  KAIJAGE Vs SUSO NDANI YA LIGI KUU SOKA NCHINI ENGLAND LEO

                                                 ...

UTABIRI WANGU WA MATOKEO YA MECHI ZA UFUNGUZI LIGI KUU ENGLAND 2014/2015

UTABIRI wa mikeka ni sehemu ya kutabiri matokeo ya mechi za ligi mbalimbali ndani na nje ya Tanzania. Leo hii ligi kuu nchini England inaanza...

Utabiri wangu wa michezo ya ufunguzi wa ligi kuu ya England 2014/2015

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=R_W_yj69DYY?list=UUJ_vooDIBsLkLcbosm8nv6A&w=640&h=360] Utabiri wa mikeka ni sehemu ya kutari matokeo ya michezo ya ligi mbali mbali ulimwenguni. Kwa kuanza ligi kuu ya England inatarajia kuanza mwishoni...
473,621FansLike
169,928FollowersFollow
72,213FollowersFollow