Uncategorized

Home Uncategorized Page 4

Madhaifu na ubora wa Hazard, Neymar na Mbappe kwenye kuziba pengo la Ronaldo

Real Madrid wanahaha sana kujua nani anafaa kuvaa viatu vya Ronaldo. Wameondokewa na mchezaji bora zaidi kuwahi kutokea katika ardhi ya Ureno. Atakumbukwa pale...

Dechamps atoa sababu itakayowafanya Waafrika kuiunga mkono Ufaransa

Jumapili hii hapa baada ya miaka minne tunashuhudia mchezo wa fainali ya kombe la dunia na hapa ndio tutapata bingwa mpya atakayechukua nafasi ya...

RUS 2018: Mambo 20 tuliyojifunza Kombe la dunia

1. Maradona anapaswa kupumzika. Madawa sio Maziwa ya pakti. Umri umeenda. Ana Mengi ya kufanya kuliko kujidhalilisha 2. Senegal walikuwa na nguvu na udi. Lakini...

Ronaldo naye huyu hapa na barua yake, aeleza kwanini anaondoka

Tumesikia kwa Real Madrid tayari na tumesikia kwa kila mtu, lakini Cristiano Ronaldo alikuwa kimya na sasa kwa mara ya kwanza Ronaldo ametoa yake...

RUS 2018: Hawa Ufaransa wapo siriazi na kazi!

Wabongo bhana! Kuna mshkaji kaniambia biashara ya utumwa ingeendelea huenda leo tungekuwa tunashangilia ushindi wa taifa letu la Ufaransa. Inaonekana biashara ya utumwa imefanya...

RUS 2018: World Cup ya Mwaka huu haina Mabingwa

Kuna kijana mmoja anaijiita Pacha wa bakayoko huko Instagram. Ni rafiki yangu wa siku za usoni tu. Hata hatuwaji kuonana. Aliandika waraka wake akasema. Huenda...

RUS 2018: Huku Torreira kule Pogba, pale Griezmann hapa Cavani

Kesho Ijumaa, kutakuwa na mechi ya kwanza ya robo fainali kati ya Uruguay na Ufaransa. Mchezo huo utachezwa kwenye uwanja wa Nizhny Novgorod, majira...

Kadi 6 Uingereza v Colombia, lakini inashika nafasi ya ngapi katika mechi za kitemi...

Usiku wa jana dunia ilishuhudia kwa mara ya kwanza katika historia ya kombe la dunia Uingereza wakifudhu kwa hatua inayofuata kwa mikwaju ya penati,...

FUNUNU: Tetesi za usajili zinazovuma

Juventus wameanza mazungumzo na Real Madrid kumchukua straika wao hatari kutoka Ureno, Cristiano Ronaldo tayari kuwatumikia wakongwe hao nchini Italia. (Marca) Chelsea ipo tayari kujadiliana...

Ubelgiji wavunja rekodi iliyodumu miaka 52, sasa kuwavaa Brazil robo fainali

Inaweza kuwa mecho bora kabisa ya kombe la dunia, hii ni baada ya Ubelgiji kutoka nyuma ya mabao 2 kwa 0 na kisha kuibuka...

RUS 2018: Tanga Mpo? Wapinzani wa Poulsen wanawavaa Peru.

Leo Jumanne kutakuwa na mechi nyingine ya kundi C kati ya Australia na Peru itakayochezwa katika uwanja wa Flsht Olympic uliopo mji wa Sochi. Australia:...

Mh Raisi undugu wetu unamejaa wivu, unafiki na fitina

Hivi majuzi Mh Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh John Joseph Magufuli alitembelea uwanja wetu wa taifa. Kwenye hotuba yake alionekana kutopendezwa...

Buffon atundika daluga

Nahodha wa klabu ya Juventus, Giunluigi Buffon, ametangaza rasmi kuwa ataachana na soka mwisho wa msimu huu. kipa huyo aliyedumu na klabu hiyo kwa...

Kama Neymar hajamuelewa Ronaldo hatawaelewa waarabu

Umepata taarifa za Neymar kuwa mchezaji bora ufaransa? Daah hiki ni kioja kingine tena. Ukiacha kituko cha yeye kununuliwa bei ya kisiwa hili la...

kikosi cha Brazil hiki hapa (selecao)

HIKI hapa kikosi cha timu ya taifa Brazil, ambacho kitakwenda kupambana nchini Urusi katika fainali za Kombe la Dunia mwaka huu. Walinda lango: Alisson (Roma), Ederson...

Unajua Kante anamkubali nani zaidi?

Kocha msaidizi wa N’golo Kante Piere Ville alisema kuwa kante alikutana na wakati mgumu sana kwani timu nyingi zilikuwa hazimtaki kutokana na umbo lake...

Huddersfield wabaki ligi kuu huku Gurdiola akiivunja rekodi ya Mourinho

Alama moja katika uwanja wa Stamford Bridge umeihakikishia klabu ya Huddersfield kuwepo katika ligi kuu nchini Uingereza katika msimu ujao, matokeo ya leo yanawafanya...

Taarifa mbalimbali za Majuu

IMEBAKI miezi miwili kuanza kwa Fainali za Kombe la Dunia ambayo inatarajia kufanyika nchini Urusi. Kama ilivyo kawaida michuano hii ni michuano ambayo inabeba hisia...

Juventus vs Ac Milan, siku 4 za Allegri kubeba ndoo mbili kubwa zinaanza leo

Nchini Italia hii leo kutakuwa na mchezo mkubwa sana kati ya wababe wawili wa nchini humu Ac Milan wakimenyana na Juventus katika fainali za...

Taarifa mbali mbali majuu

Na Daniel s Fute Zidane Atimiza Karne Ya Ushindi Akiwa Na Real Madrid KOCHA wa Real Madrid Zinedine Zidane, usiku wa jana katika mchezo wa Ligi...
472,538FansLike
1,438,086FollowersFollow
67,400FollowersFollow