Thursday, September 20, 2018

Uncategorized

Home Uncategorized

TFF kuchungumza mkataba wa Messi Simba

Na Bertha Lumala, Dar es Salaam SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema litachunguza uhalali wa mikataba miwili ya Simba na winga wake aliyeingia katika malumbano...

Tanzania vs Afrika Kusini, Tukutane Coco Beach Jpili hii kuiunga mkono timu yetu ya...

Timu ya taifa ya Tanzania ya soka la ufukweni inaendelea na mazoezi kwa ajili ya kuikabili Afrika Kusini siku ya Jumapili kwenye uwanja wa...

POLISI MORO WAJIFUNZA KWA WAGONGA NYUNDO WA MBEYA

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam BAADA ya kurejea ligi kuu soka Tanzania bara msimu wa 2014/2015, klabu ya Polisi Morogoro ameanza tambo za...

MTIBWA SUGAR YAJIPANGA KUSAKA NYOTA WAPYA

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam MABINGWA wa zamani wa Tanzania kwa mwaka 1999 na 2000, Mtibwa Sugar wamekiri kukumbana na changamoto kubwa msimu wa...

GOLIKIPA WA AC MILAN MWENYE MIAKA 16 APIGWA KWENYE PENALTI REAL MADRID IKIBEBA NDOO...

Hakika lilikuwa jambo la kujivunia kwa Golikipa kinda wa AC Milan,Gianluigi Donnarumma  mwenye miaka 16 kuichezea timu yake dhidi ya miambaya kandanda Duniani, Real...

Taarifa mbalimbali za Majuu

IMEBAKI miezi miwili kuanza kwa Fainali za Kombe la Dunia ambayo inatarajia kufanyika nchini Urusi. Kama ilivyo kawaida michuano hii ni michuano ambayo inabeba hisia...

Manchester United wakutwa na msiba

Simanzi kubwa imetapakaa katika jiji la Cork Nchini Ireland baada ya aliyekuwa mchezaji Nguli wa Timu ya taifa na klabu za Celtic, Sunderland na...

DIAMOND ANYAKUA TUZO NYINGINE NCHINI NIGERIA

­­­STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' usiku wa kuamkia leo ameshinda tuzo nyingine huko Lagos nchini Nigeria kutoka The Future Awards Africa...

Yaya Toure apiga chini £430,000 kwa wiki.

Yaya Toure ambaye alikua na kashfa ya kubaki Manchester City kwa sababu ya pesa. Sasa hivi Yaya analipwa £220,000 kwa wiki licha kutokua namba...

Ronaldo naye huyu hapa na barua yake, aeleza kwanini anaondoka

Tumesikia kwa Real Madrid tayari na tumesikia kwa kila mtu, lakini Cristiano Ronaldo alikuwa kimya na sasa kwa mara ya kwanza Ronaldo ametoa yake...

STORY KUBWA