Tuesday, September 18, 2018

Uncategorized

Home Uncategorized

Martial arejea, Arsenal na Chelsea zapata saini nyingine.

Mchezaji wa Manchester United. Martial amerejea rasmi katika mazoezi na kujumuika na Manchester United, kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kabla ya ligi kuanza...

Dechamps atoa sababu itakayowafanya Waafrika kuiunga mkono Ufaransa

Jumapili hii hapa baada ya miaka minne tunashuhudia mchezo wa fainali ya kombe la dunia na hapa ndio tutapata bingwa mpya atakayechukua nafasi ya...

Hispania waidhalilisha Croatia, huku Lukaku na Rashford wakitakata

Dakika 35 tu za kipindi cha kwanza zilitosha kuona aibu inayokuja kwa timu ya taifa ya Croatia katika mchezo wao wa leo zidi ya...

Nani atamnunulia Kelvin “Mbappe” John tiketi ya Kwenda Manchester

Kevin John, hili jina limebadilisha hali ya hewa uwanja wa taifa. Mabao 6 michezo 3. Inaonekana yupo siriazi na kazi. Sijabahatika kuonana nae lakini nikiri...

Mbwana Samata afunguka kuhusu Uganda na wachezaji waliotemwa Stars

Kuelekea mchezo dhidi ya Uganda kuwania kufuzu fainali za AFCON 2019, nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta amesema lengo ni kufuzu fainali hizo kwa...

LIVE ( text commentary): Uganda vs Tanzania

Na mpira umekwisha Uganda 0-0 Stars Chilunda amechukua nafasi ya Ulimwengu Mpira wa kutushwa dakika za lala salama Dakika ya 94: Bado Ulimwengu hali yake bado sio njema Hatari...

David Luiz afichua siri

"Nilikuwa mchezaji wa akiba. Lakini kuna mchezo tulicheza huku tukiwa na changamoto ya walinzi wetu kupata majeraha hivyo timu ikawa inacheza ikiwa na upungufu...

Mtazamo wa Shaffih Dauda kuhusu Messi kupigwa chini tuzo za mchezaji bora wa FIFA

Lionel Messi kapigwa chini kwenye tuzo ya mwanasoka bora wa dunia 'The best FIFA Men's Player of the Year' Lionel Messi, katika fainali ya...

Amri Kiemba aipa ubingwa wa ligi kuu Tanzania timu hii

Wakati ligi kuu Tanzania bara ikitarajia kuanza Jumatano hii baada ya pazia lake kufunguliwa rasmi siku ya Jumamosi iliyopita kwa mchezo wa Ngao ya...

Mambo makuu ya manne ya kutazama mechi za kimataifa, Messi hayupo, Ronaldo hayupo, Sane...

Makala hii imeandaliwana Jacob Steinberg, Barry Glendenning na Michael Butler wachambuzi wa jarida la the Guardian. 1) Je Sané atamkosoa Löw ? Joachim Löw amewaongeza wachezaji wa...

STORY KUBWA