Wednesday, September 26, 2018

Uncategorized

Home Uncategorized

Giroud avunja rekodi ya Zidane, Ufaransa yaifunga Uholanzi kwa tabu sana

Mchezo wa kundi la kwanza  kwa upande wa ligi daraja la A la michuano ya Uefa National Leguae  imekamilika kwa Ufaransa kuibuka kidedea kwa...

Hivi nani anamshauri Mourinho? ameshakurupuka na anakwenda kukurupuka tena, HAELEWEKI!

Kuna muda kama mtu wa soka unaweza kukaa na kujiuliza hivi Mourinho anashauriwa? Na nani anamshauri? Na kama anamshauri je anamsikiliza kweli au anaamka...

King Kiba ameanza mazoezi rasmi, Arsenal yamnyatia Vida

Ligi kuu England hiyoooo Inarudi 📆 2 miezi ⏳ 70 siku ⏰ 1,680 masaa 🕑 100,000 dakika Bila kipute cha England.. Football Is BACK! ⚽ Mwaka mmoja uliopita Juan Mata8 Alianziasha mradi...

Salum Kihimbwa amwaga wino Mtibwa

Salum Kihimbwa baada ya kuitwa timu ya taifa ameongeza mkataba na klabu yake ya Mtibwa. Salum Kihimbwa aliyezaliwa desemba 20 mwaka 1997 ni Mchezaji...

Kama Neymar hajamuelewa Ronaldo hatawaelewa waarabu

Umepata taarifa za Neymar kuwa mchezaji bora ufaransa? Daah hiki ni kioja kingine tena. Ukiacha kituko cha yeye kununuliwa bei ya kisiwa hili la...

TIMU 11 ZATHIBITISHA KUSHIRIKI MICHUANO YA KIKAPU YA TAIFA CUP DODOMA.

Shirikisho la Mpira wa Kikapu nchini limethibitisha kuanza kwa michuano ya Taifa Cup itakayofanyika mjini Dodoma mwishoni mwa juma hili. Lengo la michuano hiyo ni...

Utabiri wangu wa michezo ya ufunguzi wa ligi kuu ya England 2014/2015

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=R_W_yj69DYY?list=UUJ_vooDIBsLkLcbosm8nv6A&w=640&h=360] Utabiri wa mikeka ni sehemu ya kutari matokeo ya michezo ya ligi mbali mbali ulimwenguni. Kwa kuanza ligi kuu ya England inatarajia kuanza mwishoni...

Martial arejea, Arsenal na Chelsea zapata saini nyingine.

Mchezaji wa Manchester United. Martial amerejea rasmi katika mazoezi na kujumuika na Manchester United, kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kabla ya ligi kuanza...

GERRARD KUTIMKA LIVERPOOL

Los Angeles Galaxy wanatumaini kuinasa saini ya Steven Gerrard  NAHODHA wa Liverpool, Steven Gerrard leo ijumaa anatarajia kutangaza kumaliza miaka yake 26 ya kuichezea Liverpool. Nyota...

Ebu cheka na Christian Bella na ujue maisha yake mengine mbali na musiki wake...

ekaheka ya leo inatoka kwa Christian Bella, ambapo alipatwa na tatizo la kusumbuliwa na tumbo siku ambayo alikuwa na show ya Bonanza Msasani Club...

STORY KUBWA